Tufanye mambo gani ili tuweze kunufaika na maendeleo ya kiteknolojia?
Nchini Tanzania, kama ilivyo katika maeneo mengine duniani teknolojia imeleta maendeleo na mabadiliko makubwa kwenye jamii.Hakuna shaka yoyote kwamba teknolojia imebadili namna na kasi ya mawasiliano...
View ArticleTrump ashtakiwa kuhusiana na mashambulizi ya polisi dhidi ya waandamanaji
Makundi ya kutetea haki za binadamu nchini Marekani yamewasilisha kesi dhidi ya rais Donald Trump baada ya vikosi vya usalama kuwarushia mabomu ya moshi waandamanaji waliokuwa wakiandamana kwa amani...
View ArticleNCCR Mageuzi kutoa ratiba ya uteuzi wa wagombea Urais, Ubunge na Madiwani...
Baada ya CHADEMA kuwataka watangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais ndani ya chama hicho wajitokeze, NCCR Mageuzi nao wamesema kuwa wanatarajia kutoa ratiba ya uteuzi wa wagombea Urais, Ubunge na...
View ArticleTaarifa Kwa Umma Kuhusu Kufunguliwa Vyuo Vya Mafunzo Ya Kilimo (MATIs)
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndugu Gerald M. Kusaya anawatangazia wanachuo na wakufunzi kuwa Vyuo vya Mafunzo ya Kilimo (MATI) vimefunguliwa rasmi tarehe 01 Juni, 2020 kufuatia agizo la Mhe. Rais Dkt....
View ArticleWaathirika Wa Mafuko Waomba Kupatiwa Elimu Ya Ujenzi Ya Makazi Ya Kisasa
SALVATORY NTANDUWananchi zaidi ya 100 waliokumbwa na maafa ya kubomolewa kwa nyumba zao kutokana na mafuriko katika kata Ngaya,Bulige na Kashishi katika Halmashauri ya Msalala Wilayani Kahama mkoani...
View ArticleKinana amuomba radhi Rais Magufuli kutokana na kauli zake
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahaman Kinana, amemwomba msamaha hadharani Mwenyekiti wa CCM, Taifa, Dk. John Magufuli.Kiongozi huyo ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa CCM wakati wa Serikali ya...
View ArticleLIVE: Rais Magufuli Mgeni Rasmi Katika Mkutano Mkuu Wa Uchaguzi Wa Chama Cha...
LIVE: Rais Magufuli Mgeni Rasmi Katika Mkutano Mkuu Wa Uchaguzi Wa Chama Cha Walimu Tanzania
View ArticleRiwaya Kali ya Kusisimua....SIN- Sehemu Ya 12 na 13
Mwandishi- EDDAZARIA G.MSULWAAge-18+Simu-0657072588(whatsapp) au 0768516188ILIPOISHIA RPC akaifunua maiti moja na akamuonyesha Tomas maiti ya Selemani D iliyo chakaa kwa kupigwa risasi.“Hawa jana tu...
View ArticleUvutaji Wa Tumbaku Una Athari Kiuchumi Wa Mtu Mmoja Mmoja Anayetumia
Na WAMJW-DodomaWaziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema Tanzania kama nchi nyingine za Kiafrika wavutaji wa tumbaku wako hatarini kuyumba kiuchumi na kupata...
View ArticleRais Magufuli aagiza wanaogawa barakoa zisizothibitishwa Washughulikiwe
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewaagiza viongozi katika maeneo mbalimbali nchini kuwakamata na kuwahoji wale wote wanaogawa barakoa kwa wananchi ili waeleze zimethibitishwa wapi kuwa zinafaa...
View ArticleRais Magufuli Awamwagia Sifa Walimu, Aahidi Kutowaangusha
Rais Magufuli amesema Serikali yake itaendelea kushirikiana na walimu kuhakikisha sekta ya elimu inasonga mbele na kwamba madai yao anaendelea kuyashughulikia na kuyatatua moja baada ya jingine, hivyo...
View ArticleRais Magufuli: Hatukuwa na Ebola wala Mjukuu Wake Ebola....Walidhani Watalii...
Rais Magufuli amewataka Watanzania kutotilia maanani baadhi ya maneno ya uongo kutoka kwa watu wa nje, kuhusu milipuko ya magonjwa mbalimbali huku akisimulia namna alivyomfuta kazi kiongozi mmoja wa...
View ArticleRais Magufuli: Tutafungua Shule za Msingi, Sekondari na Chekekea Hivi...
Rais wa Tanzania, Dr John Magufuli amesema atafungua shule za msingi na sekondari hivi karibuni, kama ataridhishwa na kasi ya upunguaji wa maambukizi ya ugonjwa wa CoronaRais Magufuli amesema hayo leo...
View ArticleJe Wewe Ni Mwanasiasa, Mfanyabiashara, Msanii Wa Maigizo Au...
Je Wewe ni MWANASIASA, MFANYABIASHARA,MSANII wa Maigizo au MWANAMZIKI...tunazo dawa na PETE za BAHATI zenye uwezo mkubwa wa Kuyabadilisha MAISHA yako nakukupatia MAFANIKIO MAKUBWA ndani ya mda mfupi...
View ArticleNaibu Waziri wa Fedha: Ongezeko La Watu Halina Athari Kiuchumi
Na. Saidina Msangi na Peter Haule, WFM, DodomaSERIKALI imesema kuwa ongezeko la watu nchi halina athari za kiuchumi na kijamii kwa kuwa Tanzania ina rasilimali za kutosha kuhudumia idadi hiyo kutokana...
View ArticleWizara Ihakikishe Kilimo Kinasimamiwa Kikamilifu- Waziri Hasunga
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga amewaagiza watendaji Wakuu wa wizara na taasisi zake kuhakikisha wanasimamia kikamilifu uzalishaji wa mazao na upatikanaji wa masoko ya uhakika Ametoa kauli hiyo leo...
View ArticlePolisi Wengine Watatu Washitakiwa Kwa Mauaji ya Mmarekani Mweusi George Floyd
Mwanasheria Mkuu wa Minnesota, Keith Ellison ametangaza kuwa maafisa watatu wa Polisi waliokuwepo wakati George Floyd anakandamizwa shingoni hadi kufariki wamefunguliwa mashtakaThomas Lane (37), J....
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View Article