JNHPP MW 2115, uchimbaji kina cha lango la kuingilia maji kwenye mitambo...
Ujenzi wa eneo la lango (Water Intake) la kuingilia maji kwenda kwenye mitambo ya kufua umeme katika Mradi wa Julius Nyerere (Mw 2115) unatarajiwa kukamilika Februari 2022.Mhandisi Dismas Mbote,...
View ArticleRukwa: Watumishi waliokwamisha maendeleo ya miaka mitatu ya Halmashauri...
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh.Joachim Wangabo amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi kuwawajibisha watumishi wote walioisababishia halmashauri hiyo kupata hati yenye shaka na kumpatia...
View ArticleWakazi 2000 Kahama Wanufaika Nahuduma Ya Maji Safi Na Salama
SALVATORY NTANDUWananchi zaidi ya 2000 wanaoishi Pembezoni mwa mji wa Kahama mkoani Shinyanga wameanza kunufaika na huduma ya maji safi na salama baada ya kukamilika kwa miradi mitatu ya maji...
View ArticleWatatu Watiwa Mbaroni Dar es Salaam kwa tuhuma za mauaji ya dereva tax (UBER)
Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya dereva tax (UBER) aliyefahamika kwa jina la Joseph Tillya Mpokala,(51),Mkazi wa Mbezi kwa Msuguli...
View ArticleVigogo Wanne Wizara ya Maliasili na Utalii Wasimamishwa Kazi
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Utalii, Deogratius Mdamu na kumsimamisha kazi Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa wizara, Flora Masami kutokana na mapungufu na...
View ArticleAliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Marekani, James Mattis Amtuhumu Trump Kwa...
Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Marekani, James Mattis ametangaza kuwaunga mkono wananchi wa Marekani wanaondamana kulaani ubaguzi wa rangi na mienendo ya polisi ya Marekani hususan dhidi ya Wamarekani...
View ArticleRC Kagera Awataka Wanunuzi Wa Kahawa Kuingia Sokoni....Hatutaki Maneno...
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-KageraMkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti amesema kuwa serikali inaunga mkono wanunuzi binafsi kwenye zao la Kahawa japo wamechelewa sana...
View ArticleRukwa: Hoja za CAG zawaweka matatani watumishi watatu wa Halmashauri
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Nkasi kuwakamata watumishi watatu wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi kwa kula fedha...
View ArticleWatumishi Missenyi Watakiwa Kudhibiti Mapato Yanayokusanywa.
Na Avitus Benedicto Kyaruzi,Kagera.Licha ya kupata hati safi kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo Watendaji na Watumishi wa halmashauri ya Wilaya Missenyi Mkoani Kagera wametakiwa kuongeza udhibiti...
View ArticlePolisi Wengine Watatu Washitakiwa Kwa Mauaji ya Mmarekani Mweusi George Floyd
Mwanasheria Mkuu wa Minnesota, Keith Ellison ametangaza kuwa maafisa watatu wa Polisi waliokuwepo wakati George Floyd anakandamizwa shingoni hadi kufariki wamefunguliwa mashtakaThomas Lane (37), J....
View ArticleMaswali 15 Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kwenye Usaili ( Interviews ) na Namna...
Usaili wa ajira (interviews) husababisha hofu na msongo wa mawazo kwa vijana wengi kabla au baada ya kutoka chumba cha usaili.Tatizo hilo hutokana na hofu inayojenga wakati wa kujibu maswali...
View ArticleUnasumbuliwa na Matatizo Mbalimbali? Wasiliana na Ostadhi Hassan
Je umeachwa? Na mke /mume,mchumba na bado unampenda ? Kunamtu unamtaka unashindwa kumwambia? Wasiliana na mtalamu humuvuta mume, mke,mchumba na mtu yeyote unaye mtaka katika mahusiano na kumfanya...
View ArticleIdadi ya wagonjwa wa Corona Kenya yafikia 2340, waliopona 592
Wizara ya Afya nchini Kenya kwa mara nyingine imethibitisha idadi kubwa ya maambukizi 124 kwa muda wa saa 24 na kufikisha walioambukizwa kuwa 2340Wizara hiyo imeeleza kuwa wagonjwa hao wametambuliwa...
View ArticleIGP Sirro Atoa Maelekezo Kwa Wakuu Wa Polisi Wa Wilaya
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewaagiza Wakuu wa Polisi wa Wilaya OCDs kuhakikisha wanasimamia mikutano wakati wa kampeni ili iwe ya amani na utulivu.IGP Sirro amesema hayo leo akiwa...
View ArticleTaasisi Za Serikali Zakumbushwa Kutumia Huduma Za Posta Kusafirisha Bidhaa Na...
Na Prisca Ulomi – WUUM, DodomaKatibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainab Chaula amezikumbusha taasisi za Serikali kutumia huduma za Shirika la Posta...
View ArticleNdalichako Atoa Siku Tatu Kwa Vyuo Vikuu Nchini Kuhakikisha Wanafunzi...
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako ametoa muda wa hadi kufika Ijumaa wiki hii ambayo itakuwa Juni 5, 2020, vyuo vyote vya elimu ya juu hapa nchini viwe vimemaliza kuwapa fedha...
View ArticleDC Mwanga Aongoza Mazishi Ya aliyekuwa Mpigapicha wa Waziri Mkuu Chris Mfinanga
MKUU wa Wilaya ya Mwanga, Bw. Tom Apson ameongoza mazishi ya aliyekuwa Mpigapicha wa Waziri Mkuu, Bw. Chris Mfinanga yaliyofanyika kwenya kijiji cha Mangio, Vuchama, wilayani humo.Akizungumza na...
View ArticleKanuni bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji(kuku Asili)....Soma Hapa Uwe Tajiri
Ufugaji wa kuku wa asili ni nyenzo muhimu katika kupambana na wimbi la umasikini kwa kuongeza kipato cha kaya. Hata hivyo, pamoja na soko la uhakika, bado ufugaji kuku haujaweza kutumika ipasavyo...
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View Article