Kanuni bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji(kuku Asili)....Soma Hapa Uwe Tajiri
Ufugaji wa kuku wa asili ni nyenzo muhimu katika kupambana na wimbi la umasikini kwa kuongeza kipato cha kaya. Hata hivyo, pamoja na soko la uhakika, bado ufugaji kuku haujaweza kutumika ipasavyo...
View ArticleMtoto Afariki Kwa Kushambuliwa Na Fisi Shinyanga, RPC Atoa Wito Kwa Wazazi
SALVATORY NTANDUWazazi na Walezi Mkoani Shinyanga wametakiwa kuchukua tahadhari kwa watoto wao dhidi ya wanyama aina ya Fisi ambao wamekuwa wakionekana katika maeneo mbalimbali na kusababisha madhara...
View ArticleDC Macha Awatoa Hofu Wanafunzi Wa Kidato Cha Sita Kuhusiana Na Covid 19
SALVATORY NTANDUSerikali wilayani Kahama mkoani Shinyanga imewatoa hofu wanafunzi wa kidato cha sita walioanza masomo June Mosi mwaka huu katika shule sita zilizopo wilayani humo kuhusiana na ugonjwa...
View ArticleDaladala Dar Ruksa Kusimamisha Wanafunzi Wanne
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameagiza daladala za mkoa huo, ziruhusu wanafunzi wanne kusimama ili kuondoa changamoto ya usafiri.Makonda alitoa agizo hilo jana jijini Dar es Salaam...
View ArticleMtoto wa miaka 17 mbaroni kwa tuhuma za kumuua baba yake
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtoto wa miaka 17 kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi.Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa,...
View ArticleMtangazaji Maarufu wa Clouds FM Hamisi Mandi (B Dozen ) atimkia E-FM
Aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha Redio cha Clouds FM Hamis Mandi maarufu B Dozen amejiunga na Kituo cha redio cha EFM- TanzaniaMandi ambaye anafahamika zaidi kwa jina la utangazaji la B-Dozen (The...
View ArticleBei za Petrol na Dizel Zazidi Kupungua
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta ya petrol, diesel na mafuta ya taa, huku Dar es Salaam ikiwa inaongoza kwa kupata unafuu wa hadi asilimia 19.93,...
View ArticleNdalichako Atoa Siku Tatu Kwa Vyuo Vikuu Nchini Kuhakikisha Wanafunzi...
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako ametoa muda wa hadi kufika Ijumaa wiki hii ambayo itakuwa Juni 5, 2020, vyuo vyote vya elimu ya juu hapa nchini viwe vimemaliza kuwapa fedha...
View ArticleJinsi Ya Kuandika CV Nzuri Ambayo Itamvutia Mwajiri na Kukufanya Upate KAZI...
WATU wengi nchini wamekosa ajira kwa sababu ya makosa wanayoyafanya wakati wa kuandika CV zao.Kumbuka, makampuni karibia yote yanayotangaza nafasi za kazi hupokea wastani wa maombi 200-500 ya kazi...
View ArticleRais Magufuli Ampandisha Cheo Mkuu Wa JKT Meja Jenerali Charles Mbuge
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha cheo kipya, Meja Jenerali...
View ArticleMahakama Kuu Yatupilia Mbali Kesi ya Spika Ndugai na Cecil Mwambe
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wakili Paul Kaunda dhidi ya Spika wa Bunge, Job Ndugai akiomba mahakama hiyo kutengua amri ya Spika kumtambua...
View ArticleRiwaya Kali ya Kusisimua....SIN- Sehemu Ya Kumi na Moja (11)
Mwandishi- EDDAZARIA G.MSULWAAge-18+Simu-0657072588(whatsapp) au 0768516188ILIPOISHIAMagreth alijibu kwa sauti ya upole na iliyo jaa aibu kubwa sana. Hakutarajia siku hata moja kama atakuja kumkabidhi...
View ArticleCHADEMA Yafungua Milango Kwa Wanaotaka Kugombea Urais Kupitia Chama Hicho
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ) kimefungua milango kwa wanachama wa chama hicho wanaotaka kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu kujitokeza kuanzia leo Juni 3 hadi Juni...
View ArticleIdadi ya wagonjwa wa Corona Kenya yafikia 2,216, waliopona 553
Wizara ya Afya nchini Kenya kwa mara nyingine imethibitisha idadi kubwa ya maambukizi 123 kwa muda wa saa 24 na kufikisha walioambukizwa kuwa 2,216.Wizara hiyo imesema kuwa wagonjwa hao wametambuliwa...
View Article“Tume ya Haki za Binadamu Ina Jukumu Kubwa la Kulinda Haki za Wanawake na...
Na.Paschal Dotto-MAELEZO.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ameitaka Tume ya Haki za Binadamu Tanzania kufanya wajibu wake wa kuwaelimisha wananchi kuhusu haki ili kuelewa haki...
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View Article