Kanuni bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji(kuku Asili)....Soma Hapa Uwe Tajiri
Ufugaji wa kuku wa asili ni nyenzo muhimu katika kupambana na wimbi la umasikini kwa kuongeza kipato cha kaya. Hata hivyo, pamoja na soko la uhakika, bado ufugaji kuku haujaweza kutumika ipasavyo...
View ArticleAtakaye Kwamisha Ujenzi Wa Miundombinu ya HospitaliAswekwe Ndani- Dkt Jasson...
Na Avitus Benedicto Kyaruzi, Kagera.Mbungea wa Jimbo la Bukoba Vijijini Dkt Jasson Rweikiza ameutaka uongozi wa kata ya Mgajwale katika harmashauri ya wilaya ya Bukoba kuwafikisha katika vyombo vya...
View ArticleMradi wa kwanza kutumia chanzo cha maji ya Mto Kagera waanza kutekelezwa
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo amezindua na kukabidhi rasmi ujenzi wa mradi wa kwanza nchini utakaotumia maji kutoka Mto Kagera maarufu kama Mradi wa Maji wa Kyaka Bunazi...
View ArticleKesi Ya Uchochezi ya Tundu Lissu Yatajwa Mahakamani
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam jana imetaja kesi inayomkabili aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, dhidi ya maneno ya uchochezi yenye lengo la kujenga chuki kwa...
View ArticleUgonjwa wa Ebola waripotiwa tena kaskazini magharibi mwa Congo DR
Wizara ya Afya ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa, homa ya Ebola imeripotiwa tena katika maeneo ya kaskazini magharibi mwa nchi. Taarifa hiyo imesema tayari watu wanne wameaga dunia...
View ArticleDonald Trump atishia kutuma jeshi kukabiliana na waandamanaji nchini humo
Rais wa Marekani Donald Trump ameahidi kumaliza maandamano ya vurugu ambayo yameikumba miji mikubwa nchini humo tangu kifo cha George Floyd, Mmarekani mweusi mwenye umri wa miaka 46.George Floyd...
View ArticleVisa Vipya 32 Vya Corona Vyaongezeka Uganda, Maambukizi Yafikia 489
Wizara ya Afya nchini Uganda imerekodi visa vipya 32 vya COVID19 nchini humo na idadi ya maambukizi hadi sasa ni 489, Wagonjwa wapya wote ni raia wa Uganda.19 kati yao ni madereva wa malori , 13...
View ArticleJarida la Billboard lawataka wasanii wa nje kujifunza kutoka kwa Daimond
Billboard wameachia makala wakielezea namna ya kupata mafanikio kimataifa kwa kutumia mtandao wa Youtube huku wakimtolea mfano star wa muziki wa Tanzania Diamond Platnumz.Makala hiyo imeandikwa...
View ArticleMkataba Mpya Waliosaini Yanga,GSM Na La Liga
Uongozi wa Klabu ya Yanga wakishirikiana na wadhamini wao Kampuni ya GSM Mei 31 wameingia mkataba wa misimu minne wa makubaliano ya kimaendeleo ya timu hiyo na kampuni La Liga Makubaliano ya kuingia...
View ArticleACT- Wazalendo Walalamika kutozingatiwa kwa maoni ya vyama vya upinzani...
Chama cha ACT- Wazalendo kimelalamikia kutozingatiwa kwa maoni ya vyama vya upinzani katika mchakakato wa mabadiliko wa maadili ya uchaguzi katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka...
View ArticleCCM Yakemea Rushwa, Yatoa Onyo Kwa Wagombea
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeweka utaratibu wa kuboresha namna ya kusimamia maadili kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu kwa kuanzisha kituo cha taarifa za uchaguzi kitakachosaidia kubaini...
View ArticleRiwaya Kali ya Kusisimua....SIN- Sehemu Ya Kumi (10)
Mwandishi- EDDAZARIA G.MSULWAAge-18+Simu-0657072588(whatsapp) au 0768516188ILIPOISHIA“Nawe pia mwanangu, ila ni vibaya kwa mtoto wa kike kulala chini huku mimi mwanaume niliye komaa nikilala kitandani....
View ArticleRC Malima Ataka Wakulima Wauze Kahawa Yao Kwa Bei Nzuri ....Aunga Mkono...
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-MaraUongozi wa Mkoa wa Mara umesisitiza kuendelea kutekeleza maagizo yaliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe Magufuli kuhusu...
View ArticleAliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu, pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Lojistiki wa MSD, Byekwaso Tabura, kwa...
View ArticleWaziri Mkuu Akabidhi Nyumba 103 Kwa Idara Ya Uhamiaji .... Ni Utekelezaji Wa...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameikabidhi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi nyumba 103 zenye gharama ya zaidi ya sh. bilioni tano kwa ajili ya makazi ya Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji nchini...
View ArticleWatu walioambukizwa Corona nchini Kenya wafikia 2093, waliofariki 71.
Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Kenya imefikia 2093 baada ya kuwepo maambukizi mapya 72 ya Corona kutokana na kufanyiwa uchunguzi sampuli 2,892 kwa saa 24 zilizopita.Watu waliopatikana na maambukizi...
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View ArticleJinsi Ya Kuandika CV Nzuri Ambayo Itamvutia Mwajiri na Kukufanya Upate KAZI...
WATU wengi nchini wamekosa ajira kwa sababu ya makosa wanayoyafanya wakati wa kuandika CV zao.Kumbuka, makampuni karibia yote yanayotangaza nafasi za kazi hupokea wastani wa maombi 200-500 ya kazi...
View Article