Tumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View ArticleWaziri wa Kilimo Atangaza Mazao Yatakayouzwa Kwenye Mfumo Wa Stakabadhi Ghalani
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-DodomaSerikali imetangaza rasmi mazao ya kuanzia yatakayouzwa kupitia mfumo maalumu wa uuzaji wa mazao wa Stakabadhi ghalani.Mazao hayo ni pamoja na zao la Korosho...
View ArticleMaandamano kutokana na kifo cha George Floyd yaendelea katika miji mbalimbali...
Waandamanaji wanaopinga ubaguzi kwa mara nyingine tena wameingia mitaani katika miji nchini Marekani jana Jumapili kupaza sauti zao za hasira dhidi ya ukatili wa polisi.Wakati huo huo utawala wa...
View ArticleAskofu Msonganzila: Tuendelee kumwombea Rais Magufuli
Na Anitha Jonas – WHUSM,ShiratiWatanzania tuendelea kumwombea Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli ili aendelee kukua na kuongezeka imani na busara.Askofu Michael...
View ArticleWaziri Mkuu: Mali Zote Za Wakulima Wa Mkonge Kurudishwa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli itahakikisha mali zote za wakulima wa zao la mkonge nchini zinarudishwa mikononi mwao na...
View ArticleViwanja Vinauzwa Bei nafuu: Bunju na Mapinga
Viwanja Bei nafuu: Bunju na Mapinga Kwa Mapinga; viwanja vipo (Mji mpya) karibu na Kimere resort, km 2 kutoka main road (Dar to Bagamoyo Road).Hapa vipo viwanja vya: 15/15 bei million 3,20/20 bei...
View ArticleRatiba Ligi Kuu Kuanza na Viporo Juni 13
Ligi Kuu Tanzania Bara itarejea kwa kuanza na mechi za viporo kwa timu zilizocheza mechi pungufu huku ikipangwa kumalizika Julai 27 mwaka huu.Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jumatatu Juni 1,...
View ArticleChina yatishia kulipiza kisasi kwa Marekani kuhusu vikwazo dhidi ya Hong Kong
China imeionya Marekani kuwa italipiza kisasi baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza vikwazo dhidi ya wanafunzi wa China nchini Marekani katika hatua ya kulalamikia sheria mpya ya usalama wa...
View ArticleWagonjwa Wa Corona Tanzania Wazidi Kupungua....Dar Es Salaam Wabaki Wanne Tu
Idadi ya wagonjwa wenye maambukizi ya virusi vya corona nchini Tanzania imezidi kupungua ambapo sasa kwa Mkoa wa Dar es Salaam wagonjwa wamebaki wanne tu.Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu...
View ArticleRiwaya Kali ya Kusisimua....SIN- Sehemu Ya Tisa (09)
Mwandishi- EDDAZARIA G.MSULWAAge-18+Simu-0657072588(whatsapp) au 0768516188ILIPOISHIA “U…u…m….e…sema U…me….me..mkamata nani?”Mrs Sanga alizungumza kwa kubabaika.“Mtekaji wa mume wako.”RCP akampa...
View ArticleSerikali Yaziunganisha TPB NA TIB Kuongeza Ufanisi
Na. Immaculate Makilika – MAELEZOSerikali imeziunganisha benki zake mbili za biashara, Benki ya Posta Tanzania (TPB Bank Plc) na Benki ya Uwekezaji Tanzania (TIB Corporate Limited) ili kuongeza...
View ArticleProf. Yunus Mgaya: Nyungu Ya Mwarobaini Haina Madhara
Na.WAMJW-Dar es SalaamWananchi wametakiwa kuendelea kujifukiza kwa kutumia miti na mimea ya asili ikiwemo mwarobaini katika kukabiliana na ugonjwa wa Corona.Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa...
View ArticleJe Wewe Ni Mwanasiasa, Mfanyabiashara, Msanii Wa Maigizo Au Mwanamziki?......
Je Wewe ni MWANASIASA, MFANYABIASHARA,MSANII Maigizo, MWANAMZIKI... tunazo dawa na PETE za BAHATI zenye uwezo mkubwa wa Kuyabadilisha MAISHA yako nakukupatia MAFANIKIO MAKUBWA ndani ya mda mfupi tu. )...
View ArticleKamishna Jenerali Wa Magereza Suleiman Mzee Akabidhi Malori Matatu Katika...
Na ASP. Lucas Mboje, Dodoma.KATIKA kuimarisha shughuli za Kikosi ujenzi cha Shirika la uzalishaji mali la Magereza(SHIMA). Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee amekabidhi malori matatu (03)...
View ArticleNafasi Mbalimbali za Kazi Zilizotangazwa Wiki Hii
1. Job Opportunities at TANICA PLC, Sales Officers 2.Job Opportunity at TANICA PLC, Sales And Marketing Officer 3.Job Opportunity at TANICA PLC, Accounts Assistant 4.Job Opportunity at TANICA PLC,...
View ArticleMwenyekiti wa CCM, Dkt. Magufuli: Wanaotaka kugombea wajitathmini kama wanatosha
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt Magufuli amewataka wanachama wote wa chama hicho wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kujitathmini na kujiridhisha kama wanatosha...
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View Article