Serikali Yataka Mikopo Ya Tadb Kuwa Chachu Kwa Wavuvi Kuanzisha Viwanda Vidogo.
Na. Edward KondelaSerikali imesema inataka kuona uanzishwaji wa viwanda vidogo vidogo vya wafugaji na wavuvi kupitia mikopo inayotolewa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) ili kuyaongezea...
View ArticleSerikali Yatahadharisha ‘Tegesha’ Nyamongo
Na Munir Shemweta, WANMM TARIMESerikali imewatahadharisha wananchi wa kijiji cha Komarera kata ya Nayamongo Tarime Vijijini mkoani Mara kuacha tabia ya kufanya maendelezo maarufu kama Tegesha katika...
View ArticleMashauri 4,711 Yasikilizwa Kwa Mahakama Mtandao Kuepuka Corona
Na Magreth Kinabo –Mahakama Mahakama ya Tanzania imefanikiwa kuendesha mashauri 4,711 kwa njia ya Mahakama Mtandao maarufu kama ‘Video Conference’ ikiwa ni hatua mojawapo za kujikinga na...
View ArticleKorea Kusini yafunga shule tena baada ya maambukizi kuongezeka zaidi
Zaidi ya shule 200 nichini Korea Kusini zimelazimika kufunga tena shule siku chache baada ya kufunguliwa, kutokana na ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona.Mapema Jumatano, melfu ya wanafunzi...
View ArticleNaibu Katibu Mkuu Wizara Ya Elimu Akagua Maandalizi Ya Mapokezi Ya Wanafunzi...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dr. Evamarie Semakafu, ametembelea Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu Morogoro, kukagua maandalizi ya kuwapokea wanafunzi tarehe 01 Juni 2020,...
View ArticleMawasiliano ya kidijitali yanavyosaidia kutuleta pamoja
Mawasiliano ya kidijitali yanavyosaidia kutuleta pamoja Ugonjwa wa korona (COVID-19) umebadili maisha ya watu wengi kwa namna ambazo hatukutegemea. Moja ya badiliko makubwa ni lile la kupunguza...
View ArticleIGP Sirro Awataka Wanaoachiwa Kwa Msamaha Wa Rais Kufuata Sheria Za Nchi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amewataka baadhi ya wananchi ambao ni washtakiwa au wafungwa wanaopata msamaha wa Rais kutoka gerezani, kuacha kujiingiza katika matukio ya uhalifu jambo...
View ArticleSpika mpya wa Bunge la Iran atoa wito wa kulipa kisasi kwa Marekani
Spika mpya wa Bunge la Iran Mohammad Ghalibaf amesema leo majadaliano yoyote na Marekani hayatokuwa na manufaa na badala yake mkakati wa Iran unapaswa kuwa wa kulipa kisasi na siyo mazungumzo....
View ArticleJe Wewe Ni Mwanasiasa, Mfanyabiashara, Msanii au Mwanamziki.... Tunazo Pete...
Je Wewe ni MWANASIASA, MFANYABIASHARA,MSANII wa Maigizo, MWANAMZIKI, ama MWANAFUNZI tunazo dawa na PETE za BAHATI zenye uwezo mkubwa wa Kuyabadilisha MAISHA yako nakukupatia MAFANIKIO MAKUBWA ndani ya...
View ArticleRwanda yaripoti kifo cha kwanza cha ugonjwa wa Corona
Wizara ya Afya ya Rwanda imetangaza kifo cha kwanza kilichosababishwa na ugonjwa wa COVID-19 (corona) katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.Katika taarifa ya leo Jumapili, wizara hiyo imesema aliyeaga...
View Article‘‘Tuwekeze Kwenye Viwanda Vinavyotumia Malighafi Za Ndani’’- Katibu Mkuu...
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe amewataka Watanzania kuwekeza katika sekta ya viwanda vinavyotumia malighafi za ndani.Prof. Shemdoe aliyasema hayo Mkoani Simiyu alipokuwa...
View ArticleUchimbaji Holela Wa Madini Unachangia Kuharibu Uoto Wa Asilina Misitu...
SALVATORY NTANDUImebainishwa kuwa shughuli za uchimbaji wa Madini ya Dhahabu katika Machimbo mbalimbalI ya dhahabu Wilayani Mbogwe mkoani Geita unachangia kwa kiasi kikubwa katika uharibifu wa Misitu...
View ArticleRiwaya Kali ya Kusisimua....SIN- Sehemu Ya Nane (08)
Mwandishi- EDDAZARIA G.MSULWAAge-18+Simu-0657072588(whatsapp) au 0768516188ILIPOISHIAAkaning’inizwa hewani huku mikono yake ikiwa imechanuliwa mithili ya Yesu alivyo sulubiwa msalabani. Wapelelezi hao...
View ArticleAwamu Ya Pili Ya Watanzania Waliokwama India Kutokana Na Ugonjwa Wa Corona...
Serikali yarejesha kwa awamu ya pili Watanzania 192 waliokuwa wamekwama nchini India kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 Ubalozi wa Tanzania nchini India kwa kushirikiana na Shirika la Ndege la...
View ArticleOle Nasha Avitaka Vyuo Kutoa Maelekezo Ya Kujikinga Na Corona Kwa Wanafunzi...
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha amevitaka Vyuo vya Elimu ya Juu na vya Kati nchini vinavyoanza masomo Juni 1, 2020 kutoa maelekezo kwa wanafunzi ya jinsi ya Kujikinga na...
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa Kuanza Ziara Mkoani Tanga Kesho
WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwasili jijini Tanga kesho June Mosi Mwaka huu kwa ziara maalum ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa agizo lake kwa bodi ya Mkonge alilolitoa mapema mwezi...
View ArticleKigwangalla: Tanzania Ipo Tayari Kupokea Watalii
Na WAMJW- KilimanjaroWaziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ameweka wazi kuwa, Tanzania ipo tayari kupokea wageni kutoka sehemu yoyote Dunia kwa ajili ya utalii, kufuatia kuimarisha...
View ArticleWagonjwa wa Corona Nchini Kenya Wafika 1962
Idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona nchini kenya imefikia watu 1962 hii ni baada ya watu 74 kuthibitishwa kuwa na virusi hivyo katika muda wa saa 24 zilizopita.Kaunti za Nairobi na Mombasa...
View Article