Riwaya Kali ya Kusisimua....SIN- Sehemu Ya Sita (06)
Mwandishi- EDDAZARIA G.MSULWAAge-18+Simu-0657072588(whatsapp) au 0768516188ILIPOISHIA“Nina waamini sana, tena hakuna ambaye ana weza kuenenda kinyume na mimi. Unacho paswa ni wewe kunipatia milioni...
View ArticleWaziri wa Mambo ya Nje Prof. Kabudi Afanya Mazungumzo Na Balozi Wa Italia...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini Mhe. Roberto Mengoni katika ofisi ndogo za...
View ArticleWaziri wa Mambo ya Nje Prof. Kabudi Ataka Nchi Za Sadc Kuimarisha Ushirikiano
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi amezitaka Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuimarisha ushirikiano na umoja wakati...
View ArticleLIVE: Rais Magufuli Akiweka Jiwe La Msingi Ujenzi Ikulu Ya Chamwino
LIVE: Rais Magufuli Akiweka Jiwe La Msingi Ujenzi Ikulu Ya Chamwino
View ArticleSikonge Yaagizwa Ianze Kutibu Wananchi Katika Hospitali Ya Wilaya Yake
NA TIGANYA VINCENTIDARA ya Afya ya Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge imeagizwa kuhamia katika jengo la Utawala katika Hospitali ya Wilaya hiyo na waanze kutoa huduma ya watibabu kwa wananchi.Kauli hiyo...
View ArticlePolisi Aliyemuua Kikatili Mmarekani Mweusi Ashitakiwa kwa Mauaji ya Bila...
Afisa wa polisi anaetuhumiwa kwa mauaji ya kikatili ya Mmarekani mweusi, George Floyd ametiwa mbaroni na kushtakiwa kwa kosa la mauaji kufuatia kifo cha Raia huyo mweusi ambaye alimuua kwa...
View ArticleBodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Yatoa Bilioni 122.8
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imetoa Sh. bilioni 122.8 kwa vyuo na taasisi mbalimbali za elimu nchini kwa ajili ya ada, chakula na malazi ya wanafunzi wanaorejea vyuoni kuendelea...
View ArticleLIVE: Rais Magufuli Akiweka Jiwe La Msingi Ujenzi Ikulu Ya Chamwino
LIVE: Rais Magufuli Akiweka Jiwe La Msingi Ujenzi Ikulu Ya Chamwino
View ArticleSimbachawene: Serikali Ipo Katika Mchakato Kuhakikisha Mahabusu Nchini...
Na Felix Mwagara, MOHA, Dar.WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Serikali ipo katika mchakato wa kuhakikisha Mahabusu waliopo katika Magereza mbalimbali nchini wanaanza kufanya...
View ArticlePICHA: Rais Magufuli akabidhi zawadi ya Ndege aina ya Tausi kwa Marais...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Hati ya Makabidhiano ya zawadi ya Ndege aina ya Tausi 25 kwa Mama Maria Nyerere mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu...
View ArticleBaada ya vitisho, hatimaye Trump akata uhusiano na WHO
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kukata uhusiano na Shirika la Afya Duniani WHO, akidai kuwa taasisi hiyo ya kimataifa ni kikaragosi cha China.Katika kikao na waandishi wa habari katika Ikulu...
View ArticleKansela Angela Merkel akataa kuhudhuria mkutano wa G7 Marekani
Kansela Angela Merkel amekataa kuhudhuria mkutano wa kilele wa kundi la nchi 7 zenye uchumi wa juu zaidi duniani, G7, nchini Marekani mnamo mwezi Juni, kama ilivyopendekezwa na rais wa Marekani, Donald...
View ArticleDonald Trump aiwekea vikwazo China kufuatia sheria yake ya usalama Hong Kong
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuweka vikwazo vipya dhidi ya China, akiituhumu tena kuhusika kwa maelfu ya vifo vilivyoptokana na ugonjwa hatari wa Covid-19.Ametangaza pia kutokubaliana na...
View ArticleRiwaya Kali ya Kusisimua....SIN- Sehemu Ya Saba (07)
Mwandishi- EDDAZARIA G.MSULWAAge-18+Simu-0657072588(whatsapp) au 0768516188ILIPOISHIA “Yaani sijui kwa nini uliaolewa na yule mzee”“Ahaa ni maisha tu. Tumefika baba yangu”Mrs Sanga alizungumza huku...
View ArticleWagonjwa wa Corona Kenya Wafika 1888
Watu 143 wamepata maambukizi mapya ya virusi vya corona kulingana na katibu tawala wa wizara ya afya nchini Kenya Rashid Aman.Idadi hiyo imepelekea wale waliothibitishwa kupata maambukizi hadi hii leo...
View ArticleMawasiliano ya kidijitali yanavyosaidia kutuleta pamoja
Mawasiliano ya kidijitali yanavyosaidia kutuleta pamoja Ugonjwa wa korona (COVID-19) umebadili maisha ya watu wengi kwa namna ambazo hatukutegemea. Moja ya badiliko makubwa ni lile la kupunguza...
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View Article