Tumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View ArticleMpangaji Anayelipa Kodi Ya Zuio Anapaswa Kurejeshewa Na Mwenye Nyumba
Na. Peter Haule na Josephine Majura, WFM, DodomaSerikali imesema kuwa Sheria ya Kodi ya Mapato inaruhusu mpangaji wa nyumba ya biashara kusajiliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania na kuwa Wakala wa...
View ArticleKenya Yaendelea Kurekodi Maambukizi Makubwa Zaidi Ya Wagonjwa Wa Corona
Idadi ya maambukizi ya corona nchini Kenya imefikia watu 1618, hii ni baada ya watu 147 zaidi kuthibitishwa kuwa na virusi hivyo katika muda wa saa 24 zilizopita baada ya sampuli 2831 kufanyiwa...
View ArticleRiwaya Kali ya Kusisimua....SIN- Sehemu Ya Tano (05)
Mwandishi- EDDAZARIA G.MSULWAAge-18+Simu-0657072588(whatsapp) au 0768516188ILIPOISHIA“Kwa nini kaka?”“Kuna watu wana wateka watu na wanavishwa jina.... Yaani nashindwa hata kuelewa, tunaelekea...
View ArticleUgonjwa Wa Malaria Wazidi Kupungua Nchini
Na.WAMJW,ChunyaTakwimu za kitaifa za viashiria vya malaria kwa mwaka 2017 (Malaria Indicator Survey) inaonesha kuwa upatikanaji wa vyandarua (access) kwa wananchi kitaifa ni asilimia 63 na matumizi ya...
View ArticleNafasi Mpya Za Kazi Zilizotangazwa Wiki Hii...Bofya Hapa
1. 50+ New Jobs Vacancies at APHFTA Tanzania 2.Job Opportunity at COSTECH, Documentation And Publication Manager 3.Job Opportunity at SIDO, Training Assistant 4. Job Opportunity at KUWASA, Senior...
View ArticleBunge Laendelea Kujadili Taarifa Ya LAAC....Mbunge Ashauri Serikali Ianzishe...
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.Bunge la Bajeti ,mkutano wa 19 kikao cha 38 limeendelea kujadili hoja ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa[LAAC] kuhusu ripoti ya Mkaguzi na...
View ArticleTumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari...
Tumefanya maboresho katika App yetu ya MPEKUZI ili kuendana na changamoto ya sasa ya janga la Corona inayoikumba dunia NzimaUsikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa...
View ArticleWafungwa Vifungo Vya Nje Watakiwa Kufanya Kazi Zinazoonekana Na Wadau
Na Veronica Mwafisi, MOHA-MorogoroKATIBU Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Chritopher Kadio, ameitaka Idara ya Huduma za Uangalizi kuhakikisha wafungwa wenye vifungo vya nje wanafanya kazi...
View ArticleUfaransa Yaipongeza Tanzania Mapambano Dhidi Ya Virusi Vya Corona
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Pamalagamba John Kabudi (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini, Mhe. Frederic Clavier ambapo pamoja na...
View ArticleHukumu Ya Zitto Kabwe Kusomwa Leo Ambapo Ndipo Hatima Yake Itajulikana Kama...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa, tarehe 29 Mei, inatarajia kusoma hukumu ya kesi inayomkabili Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto KabweHukumu hiyo ya kesi...
View ArticleWaziri Kairuki “Changamkieni Fursa Za Uwekezaji Wa Mafuta Ya Alizeti”.
NA MWANDISHI WETUWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji nchini Mhe. Angellah Kairuki ametoa rai kwa Watanzania kuwekeza katika sekta ya mafuta ya kula kwa kuzingatia...
View ArticlePICHA: Zitto Kabwe Kawasili Mahakamani Kusikiliza Hukumu Yake Huku Tayari...
Mbunge wa Kigoma ambaye ni Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewasili Mahakamani pamoja na Mawakili wake, kusubiri hukumu dhidi ya kesi yake ya uchochezi huku akiwa tayari amesha nyoa...
View ArticleBREAKING: Zitto Kabwe Kaachiwa Huru, Lakini Kwa Masharti Haya
Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe ameachiwa huru na Mahakama ya Kisutu kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi katika kipindi cha mwaka mmoja.Katika kesi hiyo ya uchochezi,...
View ArticleTaarifa Kwa Umma Toka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)
1. UTANGULIZINdugu Waandishi wa Habari,Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa jinsi anavyotulinda na kutuwezesha kutekeleza majukumu yetu kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu.Kipekee napenda...
View ArticleTrump asaini sheria inayolenga Kuibana Mitandao Ya Kijamii Ikiwemo Twitter,...
Rais Donald Trump wa Marekani jana Alhamisi alisaini Amri ya Utendaji (Executive Order on Preventing Online Censorship) inayolenga kuongeza uwezo wa serikali kusimamia na kuibana mitandao ya...
View Article“Anga Liko Wazi Tanzania, Watalii Karibuni”- Dkt.Kigwangala
Na Paschal Dotto-MAELEZOSerikali kupitia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), leo imezindua rasmi filamu inayoitambulisha Tanzania ndani na nje ya nchi katika maeneo mbalimbali ya utalii ambayo inaendana na...
View ArticlePICHA: Rais Magufuli akiangalia maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akichota mchanga kuweka kwenye Toroli wakati alipoenda kuangalia Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani...
View ArticleTrump Awaita ' VIBAKA ' Waandamanaji Wanaopinga Mauaji ya Mmarekani Mweusi...
Rais Donald Trump wa Marekani amewaita waandamanaji wanaopinga mauaji ya Mmarekani mweusi George Floyd katika mji wa Minneapolis kuwa ni "vibaka" na kuonya kwamba watafyatuliwa risasi iwapo wataanza...
View Article