Vyuo Vikuu Zanzibar Kufunguliwa Juni Mosi, Michezo kuanzia tarehe 5 juni, 2020
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaungana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhakikisha kuwa kuanzia tarehe 01 juni, 2020 vyuo vyote vya elimu ya juu vitafunguliwa na kuendelea na...
View ArticleTAKUKURU Yaanza Kuichunguza CHADEMA Juu Ya Tuhuma Za Matumizi Mabaya Ya Fedha.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Hivi karibuni,...
View ArticleKenya yatangaza idadi kubwa zaidi ya wagonjwa wa Corona Kwa Kipindi Cha Masaa 24
Waziri wa Afya nchini Kenya Mutahi Kagwe leo Jumatano Mei 27 ametangaza watu 123 zaidi kuambukizwa virusi vya corona.Hiyo ndiyo idadi kubwa zaidi ya maambukizi ya corona kuwahi kutangazwa kwa siku moja...
View ArticleRiwaya Kali ya Kusisimua....SIN- Sehemu Ya Nne (04)
ILIPOISHIA“Wamesema ni kiasi gani?” “Milioni mia sita hamsini, ila nimezungumza nao, hadi kwenye milioni miatano watauza”“Mage umaipenda hii nyumba”“Ndio baba ila mbona kodi yao ni garama kiasi...
View ArticleUfaransa Yaipatia Serikali Mkopo Nafuu Wa Euro Milioni 70 Kujenga Mradi Wa...
Na Farida Ramadhani-WFM, DodomaSerikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za...
View ArticleSADC Wapendekeza Kuondolewa Kwa Vikwazo Vya Kibiashara Mipakani
Eric Msuya – MAELEZOKatibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge amewataka watanzania kuendelea kudumisha umoja na Ushirikiano wa Kibiashara...
View ArticleRais Magufuli Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri Ikulu Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino mkoani...
View ArticleChama cha Madaktari Tanzania (MAT) Chasema Corona Imepungua Sana Nchini,...
Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimesema kinafanya uchambuzi ili kubaini tiba mbadala ambazo zimetumika kwenye kukabiliana na virusi vya corona zina mchango gani katika kupungua kwa maradhi hayo...
View ArticleVifo Vya Corona Marekani Vyapindukia 102,107
Idadi ya wagonjwa waliofariki kutokana na virusi vya corona nchini Marekani imefika 102,107 katika kipindi cha chini ya miezi minne.Taifa hilo limeandikisha vifo vingi zaidi ya taifa lolote lile huku...
View ArticleWagonjwa Wa Corona Uganda Wafika 281 Baada ya Wengine 28 Kuongezeka
Wizara ya Afya nchini humo imetangaza ongezeko la Wagonjwa wengine 28 na kufanya jumla ya visa vya Corona nchini humo kufikia 281Wagonjwa 21 ni madereva wa malori walioingia Uganda kupitia mpaka wa...
View ArticleNEC yakutana vyama vya siasa kujadili na kupitisha kanuni na maadili kwa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imejizatiti na imejipanga kuhakikisha kuwa inatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Katiba, Sheria, Kanuni pamoja na kuzingatia masharti ya Kanuni za Maadili ya...
View ArticleTrump atishia kufunga mitandao ya kijamii nchini Marekani
Rais wa Marekani Donald Trump anatarajia leo Alhamisi kutia saini kwenye agizo linalolenga mitandao ya kijamii, maafisa wa Ikulu ya White House wamesema, saa chahe baada ya rais huyo kutishia kufunga...
View ArticleBashe: Serikali Yaokoa Tani 556.5 Ya Mbegu Za Nafaka Kwa Kudhibiti Kwelea...
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe.Hussein Bashe amepokea ndege ya kunyunyizia dawa aina ya beaver 5Y DLD kwaajili ya kudhibiti visumbufu vya mimea aina ya kweleakwelea ambao wana uwezo wa kuharibu gramu 10...
View ArticleMaandamano dhidi ya kifo cha Mmarekani mweusi Aliyeuawa Kikatili na Polisi...
Waandamanaji mjini Minneapolis nchini Marekani wamepambana na polisi wa kutuliza ghasia kwa usiku wa pili mfululizo kufuatia hasira ya umma inayotokana na kifo cha kikatili cha mmarekani mweusi...
View ArticleHalima Mdee Akutwa Na Kesi Ya Kujibu Katika Kesi Ya Kutoa Maneno ya Kuudhi...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemkuta na kesi ya kujibu, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, katika kesi ya uchochezi ya kutoa maneno ya kuudhi dhidi ya Rais John Magufuli. Uamuzi huo umetolewa leo tarehe...
View ArticleMwongozo Wa Udhibiti Wa Maambukizi Ya Ugonjwa Wa Corona (Covid-19) Katika...
Kufuatia Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19) uliripotiwa kwa mara ya kwanza hapa nchini tarehe 16 Machi, 2020, Serikali ilichukua hatua mbalimbali...
View ArticleMwanamke Aua Mwanae Na Kisha Kumzika Baada Ya Kutelekezwa Na Mwanaume...
Na salvatory NtanduMkazi wa kijiji cha Seke Ididi wilayani Kishapu mkoani shinyanga Lucia Lukenya (42) kwa tuhuma ya kumuua na kisha kumzika mwanae mwenye jinsia ya kiume mwenye umri wa siku...
View ArticleJakaya Kikwete: Hostel za Magufuli Ziko Salama na tayari kwa matumizi, Vijana...
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Jakaya Kikwete amesema hosteli za chuo hicho maarufu hostel za Magufuli ambazo zilibadilishwa matumizi na kuwa karantini kwa watu waliokuwa wakitoka nchi za nje...
View ArticleTaarifa Kwa Umma Kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete-JKCI Kuhusu...
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kuujulisha Umma kuwa haihusiki kwa njia moja au nyingine na mashindano ya mbio za Heart Marathon 2020 yaliyokuwa yafanyike tarehe 19 Aprili mwaka huu...
View Article