$ 0 0 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM umempitisha Dkt John Magufuli kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa ndiye mwanachama pekee aliyejitokeza kuchukua fomu.Endelea Kuwa Nasi kwa taarifa zaidi