$ 0 0 Naibu Spika Dkt.Tulia Ackson amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbeya mjini kupitia tiketi ya CCMDkt.Tulia amechukua fomu hiyo katika ofisi za CCM Wilaya akisindikizwa na Mume wake James Andilile Mwainyekule.