Waziri wa wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangala Arejesha Fomu Ya...
WAZIRI wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangala amekuwa mwanachama wa kwanza wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kuwania Ubunge wa Jimbo la Nzega Vijijini.Dkt....
View ArticleSerikali Kuendelea Kununua Mazao Ya Wakulima
Wakulima nchini wamehakikishiwa kuwa serikali itaendelea kununua mazao yao kwa ajili ya kuongeza hifadhi ya kutosha ili kuwa na uhakika na usalama wa chakula nchini.Kauli hii ya serikali imetolewa jana...
View ArticleWashindi wa uchaguzi kwenye kura za maoni za Ubunge wa CHADEMA waliopita...
Washindi wa uchaguzi kwenye kura za maoni za Ubunge wa CHADEMA waliopita kwenye majimbo yao ni kama ifuatavyo:1.Mshindi Jimbo la Kawe ni Halima Mdee mwenye kura 63 (71.5%).2. Tarime Mjini mshindi ni...
View ArticleKatibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo na Aliyekuwa Mkuu wa mkoa...
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brig. Jenerali Emmanuel Maganga amekabidhiwa fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Mvomero huku Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Prof. Kitila Mkumbo, akichukua...
View ArticleCOSOTA yahamia Rasmi Wizara ya Habari
Na Shamimu Nyaki –WHUSM Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe ameeleza kuwa lengo la kuihamisha Taasisi ya Hakimiliki (COSOTA) kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara kuja...
View ArticleMaalim Seif Sharif Hamad Arudisha Fomu ya Kugombea Urais Zanzibar
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad leo amerudisha fomu kwenye ofisi za chama zilizopo Vuga Zanzibar yakuomba dhamana ya chama ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais Zanzibar kwenye...
View ArticleTatizo la kuishiwa nguvu za kiume na maumbile kusinyaa limekuwa tatizo kwa...
Tatizo la kuishiwa nguvu za kiume na maumbile kusinyaa limekuwa tatizo kwa wanaume wengi. ___________________==>Yajuwe matatizo yanayosababisha upungufu wa nguvu za kiume___________________ 👉(1)...
View ArticleUpande wa Serikali Wapinga Wadhamini wa Tundu Lissu Kujiondoa
Upande wa Jamhuri umewasilisha pingamizi la awali mahakamani kupinga maombi yaliyowasilishwa na wadhamini Ibrahim Ahmed na Robart Katula wa mbunge wa zamani wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, ukidai...
View ArticleKatibu Mkuu CHADEMA John Myika Atangaza Kutogombea Ubunge Uchaguzi wa Mwaka...
Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Myika, amesema hatagombea ubunge, katika jimbo la Kibamba jijini Dar es SalaamMnyika ambaye amekuwa mbunge wa Kibamba ambayo ilikuwa...
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa Achukua Fomu Za Kuwania Tena Ubunge Wa Ruangwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakikaribishwa na Katibu wa CCM wa Wilaya ya Ruangwa, Barnabas Essau (kulia) wakati walipowasili kwenye Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo kuchukua fomu...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda Achukuwa Fomu Kuwania Ubunge Jimbo...
MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda leo Julai 15 amechukuwa Fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM.
View ArticleSADC Yazipongezatanzania Na Mauritius Kupanda Kiuchumi
Na Farida Ramadhani, Dar es SalaamJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imezipongeza nchi za Tanzania na Mauritius kwa kufanikiwa kuingia katika uchumi wa kati na juu licha ya changamoto...
View ArticleBenard Membe Kutambulishwa Rasmi ACT- Wazalendo Kesho
Kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameweka wazi kuwa kesho Julai 16, 2020 watambambulisha rasmi aliyekuwa waziri wa mambo ya nje Bernard Membe kuwa mwanachama rasmi wa chama hicho...
View ArticleMama Salma Kikwete ajitosa ubunge Mchinga, Lindi
Aliyekuwa Mbunge wa kuteuliwa ambaye pia ni Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya 4, Mh. Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kugombea ubunge katika jimbo la Mchinga...
View ArticleBREAKING: Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Paul Makonda.....Kateua Wakuu wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 15 Julai, 2020 amefanya uteuzi wa viongozi wa Mikoa na Wilaya kama ifuatavyo;Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw....
View ArticleCOSOTA Yapewa saa 24 Kuwasilisha Mkakati Utakaowanufaisha Wasanii
Na Shamimu Nyaki-WHUSMKatibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hasaan Abbasi ametoa saa 24 kwa Bodi na Menejimenti ya Chama cha Hakimiliki na Haki...
View ArticleKusitisha Kazi Viwanda Vya Chai Shamba La Tukuyu Hakukubaliki - Katibu Mkuu...
Serikali imeagiza kampuni ya Mohamed Enteprises (METL) inayomiliki shamba la chai la Tukuyu kutoa maelezo kuhusu matumizi ya shamba hilo ni kwa namna gani wameweza kuliendeleza tangu walipokabidhiwa...
View Article