Tanzia: Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Korogwe afariki dunia
Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Korogwe Kwame Daftari amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Februari 16, 2021, Hospitalini jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa tangu Januari 24, 2021.Mkuu wa...
View ArticleRais mstaafu, Jakaya Kikwete Amlilia Seif Khatibu
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema kifo cha Dk Mohamed Seif Khatibu ni pigo kwa Chama cha Mapinduzi (CCM).Waziri huyo wa zamani aliyeshika nyadhifa mbalimbali serikalini na ndani ya CCM alifariki...
View ArticleWatu zaidi ya 60 wapoteza maisha katika ajali ya boti DRC
Watu wasiopungua 60 wamefariki dunia kufuatia ajali ya boti magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.Steve Mbikayi, Waziri wa Masuala ya Kibinadamu wa nchi hiyo amesema boti hiyo iliyokuwa...
View ArticleZuma kufunguliwa mashitaka kwa kosa la kuidharau mahakamani
Mwenyekiti wa Tume ya uchunguzi kuhusu madai ya rushwa yanayomkabili aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, amesema anataka kiongozi huyo wa zamani kuhukumiwa kifungo gerezani kwa kushindwa kufika...
View ArticleNaibu Waziri Mabula Ataka Kuundwa Vikosi Kazi Kuharakisha Upimaji Ardhi
Na Munir Shemweta, WANMM GEITANaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametaka kuundwa vikosi kazi kwa ajili ya kuendesha zoezi la upimaji ardhi katika mikoa ili kuongeza...
View ArticleTanzania Mbioni Kusaini Mkataba Wa Eneo Huru La Biashara Ya Utatu...
Tanzania imeshiriki katika Mkutano wa Pili wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Utatu uliofanyika kwa njia ya video. Katika mkutano huo moja ya agenda ilikuwa nchi Wanachama kutoa taarifa kuhusu hatua...
View ArticleBalozi Brigedia Jenerali Ibuge; Ushawishi Wa Tanzania Bado Ni Imara Kikanda...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge amaeleza kuwa nguvu ya ushawishi wa Tanzania katika majukwaa ya kikanda na kimataifa...
View ArticleNEMC Wasaidieni Wawekezaji Kuzingatia Sheria Ya Mazingira – Waziri Ummy Mwalimu
Serikali imesema kamwe haitakuwa kikwazo kwa wawekezaji katika kutoa vibali vya Tathmini ya Athari kwa mazingira katika kuwezesha uwekezaji na maendeleo ya viwanda.Kauli hii imetolewa hii leo na Waziri...
View ArticleCDF Mabeyo Asisitiza Ushirikano Kwa Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama
TIGANYA VINCENT, RS TABORAMkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo amevitaka vyombo vya ulinzi wa usalama kuendeleza mshikamano na ushirikiano uliopo ambao umesaidia...
View ArticleTanzania Na Umoja Wa Ulaya Zatiliana Saini Msaada Wa Bilioni 307.9
Na Daudi Manongi, MAELEZOSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetiliana saini na Umoja wa Ulaya (EU) msaada wa mikataba ya miradi sita yenye gharama ya bilioni 307.9 itakayofadhiliwa kupitia...
View ArticleTECNO Yajumuika Na Wateja Wake Katika Usiku Wa Valentine.
TECNO Mobile ni moja ya kampuni iliyoshiriki vyema katika kuonyesha upendo kwa wateja wake. TECNO ilizindua rasmi promosheni ya valentine (TUNAKUTHAMINI MTHAMINI) maalumu kwajili ya kujumuika na wateja...
View ArticleUmoja Wa Ulaya Waipatia Tanzania Sh. Bil. 308 Kutekeleza Miradi Mbalimbali
Na. Farida Ramadhani na Josephine Majura, WFM, DodomaUmoja wa Ulaya kupitia Mpango wa Ushirikiano wa 11 chini ya Mfuko wa Maendeleo wa Ulaya umeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 111.5 sawa na...
View ArticleMagufuli Atengua Uteuzi Wa Mkurugenzi Wa Manispaa Ya Kinondoni
Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Aron Kagurumjuli.Taarifa iliyotolewa na mkurugenzi wa mawasiliano ta Rais Ikulu, Gerson Msigwa inaeleza...
View ArticleMabadiliko Ya Kidijitali Kufungua Fursa Mpya Shirika La Posta
Na Faraja Mpina - WMTHWaziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile ameliagiza Shirika la Posta Tanzania (TPC) kwenda sambamba na mabadiliko ya teknolojia ili kuendesha...
View ArticleUlega Aitaka TIRA Kusimamia Mikataba Ya Bima Iandikwe Kwa Kiswahili
Na Grace Semfuko – MAELEZO.Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Abdallah Ulega ameitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), kuzielekeza taasisi za bima nchini kutumia lugha ya...
View ArticleDk.Abbasi: Wasanii Fanyeni Kazi Bora Sio Kutafuta ‘kiki’
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali haitapoteza muda na wasanii wanaofanya “kiki”...
View ArticleTANZIA: Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Afariki Dunia
Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi ametangaza kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais aliyefariki leo Jumatano saa 5:00 asubuhi, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es...
View ArticleRais Magufuli Aomboleza Kifo Cha Maalim Seif Sharif Hamad
Rais John MagufuliI amepokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, ambaye amefariki dunia leo Jumatano, Februari 17, 2021, katika Hospitali...
View ArticleDC Chongolo Atoa Siku Saba Soko Jipya La Magomeni Kuanza Kutumika
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo ametoa siku saba kwa wafanyabiashara wa Soko la Magomeni kuanza kufanya biashara zao katika soko jipya la kisasa ambalo tayari...
View Article