TCRA Yazipiga Faini ya Bil. 38.1 Kampuni za Simu
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezipiga faini ya zaidi ya Sh.Bilioni 38 Kampuni Sita za Simu za Mkononi kutokana changamoto za utoaji huduma za mawasiliano.Akizungumza na waandishi Habari Dar...
View ArticleKauli Ya Zitto Kabwe Kuhusu Kifo Cha Maalim Seif
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kuwa mapema leo asubuhi alifika katika hospitali ya Taifa Muhimbili kumjulia hali Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif na alikuta...
View ArticleRais Mwinyi Atangaza Siku 7 Za Maombolezo Zanzibar Kufuatia Kifo Cha Makamu...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametangaza siku saba za maombolezo ambapo bendera zitapepea nusu mlingoti kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa...
View ArticleRais Magufuli atangaza siku tatu za maombolezo Kifo Cha Maalim Seif
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ametangaza siku tatu za maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.Taarifa ya...
View ArticleMakamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad Kuzikwa Leo Pemba
Mwili wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad utazikwa leo Alhamisi Februari 18, 2021 mjini Pemba, Zanzibar.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar...
View ArticlePosta Yajivunia Mtandao Mpana Wa Kufanya Biashara
Na Faraja Mpina (WMTH)Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amesema Shirika la Posta Tanzania (TPC) lipo katika mkakati wa kujiingiza zaidi katika biashara mtandao...
View ArticleHalmashauri Zatakiwa Kununua Vifaa Vya Upimaji
Na Munir Shemweta, WANMM BUKOBANaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makakzi Dkt Angeline Mabula amezitaka halmashauri nchini kununua vifaa vya upimaji ardhi ili kuongeza kasi ya upimaji katika...
View ArticleTANZIA: Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi afariki dunia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ametangaza kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu,...
View ArticlePICHA: Rais Wa Zanzibar Alhajj Dk Hussein Ali Mwinyi Ajumuika Na Wananchi...
MAKANALI na Mameja wa JWTZ wakiwa wamebeka jeneza la Mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad uliopowasiliu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume...
View ArticleMabalozi ‘Wamlilia’ Maalim Sief Sharif Hamad
Na Mwandishi wetu, Dar es SalaamMabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini, ‘wamemlilia’ Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na kumuelezea kwa mema...
View ArticleRais Magufuli Ataja Sababu za Kuendelea Kumteua Balozi Kijazi
Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema alikosa mtu wa kumteua kuwa katibu mkuu kiongozi baada ya aliyekuwa akishika nafasi hiyo, Balozi John Kijazi kustaafu mwaka 2017 na hivyo kuamua kumuongezea...
View ArticleWaziri Nchemba aagiza wanaozusha taarifa za vifo washughulikiwe kwa Mujibu wa...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza vyombo husika kuwachukulia hatua za kisheria wale wote wanaosambaza taarifa za uongo mitandaoni kuhusu afya za watu wengine.Dkt. Nchemba...
View ArticleFurahia Infinix Hot 10 Play Na Ofa Kutoka Tigo.
Dunia imekuwa kama Kijiji kwa sasa ukilinganisha na miaka ya nyuma, upatikanaji wa habari mbalimbali umekuwa ni rahisi sana basi kama ni faida au hasara tuzihamishie kwenye ukuaji wa teknolojia....
View ArticleWauguzi Na Wakunga Waliohitimu Waaswa Kuzingatia Misingi Ya Taaluma Yao
Na. Catherine Sungura,WAMJW-Kibaha“Huduma za Uuguzi na Ukunga zinapimwa zaidi na uadilifu wa watoa huduma, uadilifu unasaidia kuzingatia matumizi sahihi ya elimu aliyonayo mtaaluma kwani elimu bila...
View ArticleWaziri Mkuu: Tuendelee Kumuomba Mungu Na Tuchukue Tahadhari
WAZIRI MKUU Kaasim Majaliwa amesema Watanzania wanaweza kuushinda ugonjwa wa corona kwa kumuomba Mungu na kufuata ushauri unaotolewa na wataalamu wa afya kuhusu njia za kujikinga na ugonjwa huo.“Katika...
View Article