Rais Magufuli: Serikali haijazuia matumizi ya barakoa
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo ameungana na Waumini wa Parokia ya Mtakatifu Petro, Oysterbay Jijini Dar es Salaam kusali Misa Takatifu ya Jumapili (Dominika ya 1...
View ArticleWaziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso Aagiza Kukamilishwa Kwa Mradi Wa Maji Mabokweni
Serikali imesema itahakisha miradi ya maji inakamilika kwa wakati kwa kuwezesha upatikanaji wa rasilimali fedha ili jamii iweze kunufaika na huduma ya maji safi na salama kupitia mradi wa maji wa...
View ArticleMaji Ya Kufua Umeme JNHPP Kujazwa Novemba 2021
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani jana tarehe 21 Februari, 2021 katika ziara yake kwenye mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere megawati 2115, amesema zoezi la kujaza maji ya kufua umeme katika...
View ArticleNdege Kudhibiti Nzige Longido Na Simanjiro- Waziri Mkenda
Serikali imesema imechukua hatua za kutumia ndege kunyunyiza viuatilifu (sumu) ili kuua makundi ya nzige wa jangwani ambao wamevamia maeneo ya wilaya za Simanjiro na Longido na kuhatarisha ustawi wa...
View ArticleWaziri Bashungwa Atoa Onyo Kwa Wanaotumia Vibaya Mitandao Ya Kijamii
Na Eleuteri Mangi- WHUSM, ArushaWaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa ameonya watumiaji wa mitandao ya kijamii kinyume na Kanuni ya Maudhui Mtandaoni za 2018 ambazo...
View ArticleStendi Mpya ya Mabasi Mbezi Luis kuanza kutumika February 25
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Aboubakar Kunenge amesema kituo Kipya cha mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi cha Mbezi Luis kitaanza rasmi kutoa huduma Februari 25, 2021, na kituo mabasi cha Ubungo...
View ArticleWaalgeria waomba kuutumia Uwanja wa Mkapa kuwakabili Mamelodi Sundowns
Timu ya CR Belouizdad ya Algeria imeomba kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchi Tanzania kuutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar Es Salaa kama kiwanja chake cha nyumbani kwaajili ya mechi ya Ligi...
View ArticleGavana mstaafu Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Benno Ndullu afariki Dunia
Gavana mstaafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndullu (71) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Februari 22 katika hospitali ya Hubert Kairuki Memorial University alipokuwa amelazwa...
View ArticleWaziri Mkuu Akabidhi Magari Mawili Polisi Mkoa Wa Lindi
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekabidhi magari mawili kwa ajili ya matumizi ya Jeshi la Polisi mkoa wa Lindi yatakayowezesha askari kutoa huduma katika maeneo ya mkoa huo.Amekabidhi magari hayo jana...
View ArticleDaraja La Mwasonge Kuunganisha Misungwi Na Nyamagana - Mwanza
Na. Erick Mwanakulya, Mwanza.Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), mkoani Mwanza umedhamiria kuunganisha Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Nyamagana...
View ArticleProgramu Rununu ya Anwani za Makazi na Postikodi Kunufaisha Sekta Mtambuka
Na Faraja Mpina, WMTHWizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imewakutanisha wadau mbalimbali wa Anwani za Makazi na Postikodi ili waweze kutoa maoni kuhusu ujenzi wa Programu Rununu ya Anwani za...
View ArticleWizara Ya Afya Yawataka Wananchi Kuendelea Kuchukua Tahadhari Dhidi ya Virusi...
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewasihi na kuwasisitiza zaidi wananchi kuzingatia tahadhari zote ikiwemo uvaaji wa barakoaTaarifa hiyo iliyotolewa Jumapili, Februari 21,...
View ArticleWatu Wanne Watiwa mbaroni kwa Kueneza Uvumi Na Kutia Hofu Wananchi Kuhusu Corona
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kutumia mitandao ya kijamii kueneza uvumi wa vifo vya watu wakidai wamefariki kwa maambukizi ya virusi vya Corona.Kamanda wa Polisi...
View ArticleSerikali Wilayani Songea Yatoa Saa 24 Kwa Wafanyabiashara Waliogoma Kurudisha...
SERIKALI wilayani Songea mkoani Ruvuma imewaagiza wafanyabiashara na wasafirishaji abiria waliogoma kurudisha huduma zao ndani ya saa 24 kuanzia saa tisa alasiri Februari 22,2021.Kaimu Mkuu wa Wilaya...
View ArticleWaziri Mkuu : Watanzania Tuendelee Kushikamana
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wendelee kushikamana katika kipindi hiki ambacho dunia inamahangaiko makubwa na magonjwa mbalimbali ya maambukizi.”Tuendelee kumtegemea Mwenyezi Mungu...
View ArticleAskofu Malekana: Matamko na nyaraka yanatengeneza taharuki katika jamii.
Samirah YusuphBariadi. Imeelezwa kuwa matamko na nyaraka zinazotolewa na viongozi wa madhehebu mbalimbali nchini inapaswa yatolewe na wizara ya afya kwa sababu matamko hayo yanatengeneza taharuki na...
View ArticleTaasisi Nne Kuchunguza Shule Ya Don Bosco – Tanga
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu amesema ataunda timu ya wataalamu kutoka Taasisi nne kuchunguza athari za vumbi linalodaiwa kuathiri wanafunzi wa Shule...
View Article