Viongozi Wa Sekta Ya Afya Watakiwa Kuwathamini Watumishi Wa Chini
Na. Catherine Sungura, WAMJWWaganga wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa (RRH) nchini wametakiwa kusimama katika nafasi zao na kuwatambua watumishi wa chini yao wanaofanya kazi kwa kujitoa kwenye...
View ArticleRais Mwinyi Ashudhudia Utiaji Wa Saini Ya Maelewano (MOU) Wa Mradi Wa Ufuaji...
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imetia saini Hati za Maelewano (MOU) zinazohusu Mpango Mkuu wa Upembuzi yakinifu juu ya ujenzi wa Bandari Shirikishi ya Uvuvi katika eneo la Mpiga Duri Unguja na...
View ArticleMhasibu TALGWU apandishwa kizimbani kwa kutakatisha fedha
Aliyekuwa Mkuu wa Kitengo Cha Uhasibu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU), Sospeter Omollo, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, akikabiliwa na...
View ArticleJela Miaka 30 Kwa Kusafirisha Dawa za Kulevya Gramu 43
Mkazi wa Tabata, Lina Muro (46) amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya zenye uzito wa gramu 43.95.Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi...
View ArticleTangazo La Nafasi Za Masomo Kwa Dirisha La March 2021-2022 Na Fursa Ya Mkopo...
Taasisi ya Masoka Professionals Training Institute yenye usajili wa NACTE namba REG/BTP/103 na kumilikiwa na Chuo Kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi, Moshi mjini inapenda kuwatangazia...
View ArticleRC Kunenge Akerwa Na “ubabaishaji” Wa Mkandarasi Anaejenga Barabara Ya...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ameonyesha kuchukizwa na kitendo Cha kusuasua kwa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Kinondoni Studio kuelekea Mwananyamala yenye urefu wa Km 4.2 Jambo...
View ArticleKampuni Za Sukari Zatakiwa Kuongeza Kasi Ya Uchakataji Miwa Ya Wakulima
WAZIRI wa Kilimo Prof. Adof Mkenda ametoa onyo kwa makampuni ya uzalishaji sukari kuwa ifikapo mwaka 2022 Serikali haitotoa vibali vya kuagiza sukari nje badala yake wanatakiwa waongeze uchakataji wa...
View ArticleBaba Mzazi Wa Nicki Minaj Afariki Dunia
Baba mzazi wa rapa Onika Tanya Maraj maarufu Nicki Minaj, Mzee Robert Maraj (64) amefariki dunia akiwa hospitalini alipokuwa akipatiwa matibabu kufuatia ajali ya gari huko jijini New York, Marekani.Kwa...
View ArticleWaziri Mkuu: Tumuenzi Mhe. Nditiye Kwa Vitendo
Waziri Mkuu Kaasim Majaliwa amesema sifa na maneno mazuri ambayo yamesemwa kuhusu aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe, Mhandisi Atashasta Nditiye yatakuwa na maana tu endapo matendo mema aliyoyatenda wakati...
View ArticleUlemavu Sio Kutokuweza: Waziri Mhagama
Na: Mwandishi Wetu – DodomaWatu wenye Ulemavu wanaweza kufanya shughuli mbalimbali ambazo zitawawezesha kujikwamua kiuchumi na kujiletea maendeleo bali wasichukulie ulemavu walionao kama ndio hali ya...
View ArticleNaibu Waziri Ulega Asisitiza Matumizi ya Kiswahili kwenye bidhaa za ndani na...
Na. Paschal Dotto-MAELEZONaibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Abdallah Ulega amewataka wazalishaji wa bidhaa za ndani kuandika kwa Kiswahili maelekezo ya matumizi ya bidhaa...
View ArticleApigwa Risasi Ya Mguu Akidhaniwa Ni Nyani
Na Mwamvua Mwinyi,PwaniTATU Bakari Hassan ,mkulima mwenye miaka 55 ,amejeruhiwa mguu wake wa kulia kwa kupigwa risasi akiwa shambani kwake ,baada ya kudhaniwa kuwa yeye ni nyani.Jeshi la polisi mkoani...
View Article“Hatuwezi Kuwa Mateka Kwenye Suala La Sukari” - Waziri wa Kilimo
Serikali imeutaka uongozi wa kiwanda cha sukari Kilombero kuhakikisha inaharakisha mchakato wa uwekezaji ili kuongeza uwezo wake wa kuchakata miwa yote inayozalishwa na wakulima wadogo ili nchi...
View ArticleWaziri Mhagama Ataka Maafisa Kazi Nchini Kutatua Migogoro Kwenye Maeneo Ya Kazi
Na: Mwandishi Wetu – DodomaWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama amewataka maafisa kazi nchini kutatua migogoro inayojitokeza...
View ArticleTangazo la Kujiunga na Nafasi za Masomo Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)...
MAOMBI YA KUJIUNGA NA CHUO MACHI 2021Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) anakaribisha maombi ya kujiunga na Chuo katika kampasi zake za Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na Mbeya kwa muhula wa machi...
View Article