Lori Lagonga Treni Vingunguti, Dar es Salaam
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limethibitisha kutokea kwa ajali ya treni leo alfajiri eneo la Vingunguti, Dar es Salaam ambapo gari la mizigo limeigonga treni kwenye kivuko cha reli na barabara.TRC...
View ArticleMuda wa Mwisho wa Donald Trump Kuwasilisha Utetezi Wake ni Leo
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ana muda wa hadi leo Jumanne kuwasilisha hoja rasmi za utetezi katika mashitaka yanayomkabili, wakati baraza la seneti likitarajiwa kusikiliza kesi hiyo baadaye...
View ArticleDkt. Gwajima: Waganga Wakuu Imarisheni Mifumo Ya Udhibiti Na Kinga Ya...
Na. Catherine Sungura,WAMJW-DodomaWaganga Wakuu wa Mikoa, Wilaya,Wafawidhi na Maafisa Afya Mazingira nchini wametakiwa kuendelea kuimarisha mifumo yote ya udhibiti na kinga ya magonjwa kwa...
View ArticleMapinduzi Myanmar: Marekani yatishia kuiwekea nchi hiyo vikwazo
Rais wa Marekani Joe Biden ametishia kuirejeshea Myanmar vikwazo baada ya jeshi kupindua serikali.Jeshi la Myanmar lilimkamata Aung San Suu Kyi na viongozi wengine wa kisiasa wakiwashutumu kwa...
View ArticleHalmashauri zarejeshewa kukusanya ushuru wa Majengo, Mabango
Na Atley Kuni, DodomaSERIKALI imesema kuanzia sasa ushuru wa majengo, mabango na vitambulisho vya Wajasiriamali umerejeshwa rasmi kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa, isipokuwa ule unaosimamiwa na...
View ArticleWabunge 19 waliovuliwa uanachama CHADEMA waingia Bungeni
Wabunge 19 wa Viti Maalumu kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), asubuhi ya leo wamefika na kuendelea na kikao cha Bunge kilichoanza leo Jumanne, Februari 2, 2021 Jijini Dodoma.Wabunge...
View ArticleRais Magufuji amuapisha Zepharine Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani
Rais Dkt. John Magufuli amemuapisha Zepharine Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania ikiwa ni siku moja baada ya kumpandisha cheo ambapo awali alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda...
View ArticleSerikali Itakamilisha Utekelezaji Wa Vipaumbele Vyote-Majaliwa
SERIKALI imejipanga vizuri katika kuhakikisha inakamilisha utekelezaji wa vipaumbele vyote ambavyo havikukamilika katika kipindi kilichopita sambamba na kusimamia ipasavyo maeneo mapya yaliyoibuliwa...
View ArticleTume Iliyoundwa na RC Chalamila yabaini chanzo cha kifo cha dereva wa lori Mbeya
Tume ya watu saba iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila kuchunguza kifo cha dereva wa lori aliyefahamika kwa jina la Abdulhman Issa imebaini kuwa dereva huyo alifariki kutokana na...
View ArticleWanaume Watakiwa Kuvunja Ukimya kuhusu ukatili wanaofanyiwa ili kutokomeza...
Na Mwandihsi Wetu DodomaWAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amewataka wanaume kutoa taarifa kwenye mamlaka husika kuhusu ukatili wanaofanyiwa ili kutokomeza...
View ArticleTupuuze Uzushi Wa Mitandaoni, Tanzania Hatuna Corona – Prof. Mchembe
Na WAMJW- DSMKATIBU MKUU Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Prof. Mabula Mchembe amewataka Wananchi kupuuza taarifa zinazozagaa kupitia mitandao ya kijamii juu ya uwepo wa...
View ArticleDkt. Ngenya Awataka Wajasiriamali Kuchangamkia Fursa TBS
Na Mwandishi wetu, MoshiMKURUGENZI Mkuu wa Shirika la viwango Tanzania (TBS) Dkt. Yusuph Ngenya amewataka wajasiriamali wadogo wadogo nchini kuchangamkia fursa ya kupatiwa alama ya ubora bila malipo...
View ArticleWizara Ya Mawasiliano Na Teknolojia Ya Habari Yawakabidhi Wakandarasi...
Na Faraja Mpina- WMTHWaziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amewaagiza wakandarasi wanaokwenda kutekeleza miradi minne ya miundombinu ya mawasiliano yenye thamani...
View ArticleAgizo La Waziri Ndaki Lazidi Kushika Kasi, Wengine Zaidi Mbaroni, Utoroshaji...
Na. Edward KondelaJeshi la Polisi Mkoa wa Tanga kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi pamoja na vyombo vingine vya ulinzi na usalama limewakamata watuhumiwa wawili wa utoroshaji wa mifugo...
View ArticleMmiliki Kiwanda Cha Kutengeneza Silaha Za Kijadi Akamatwa Pwani
Na Mwamvua Mwinyi,PwaniJESHI la polisi mkoani Pwani ,linamshikilia mtuhumiwa Shaban Athuman 61 mkazi wa Kwamakocho kata ya Mandela Chalinze Pwani ,kwa kosa la kumiliki kiwanda cha kutengeneza silaha na...
View ArticleMwalimu Afukuzwa Kazi na Kufikishwa Mahakamani Kwa Wizi wa Mitihani
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU, imemfikisha Mahakamani mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Orkitikiti, Kijiji cha Engong’ongare Wilayani Kiteto, Oscar Waluye na kusomewa mashtaka ya...
View ArticleWahariri Vyombo Vya Habari Wakoshwa Na Mfumo Wa GePG
Na. Peter Haule na Ramadhani Kissimba, WFM, ArushaKATIBU Tawala Mkoa wa Arusha Richard Kwitega ameipongeza Wizara ya Fedha na Mipango na Serikali kwa ujumla kwa kuweka mfumo imara wa ukusanyaji mapato...
View ArticleUsichelewe .....Pakua sasa hivi App Ya Mpekuzi Ikiwa na Maboresho Mapya. Ipo...
Tumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari zetu Haraka Usikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani kwa Ujumla . Tumejipanga vizuri sana...
View Article