Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

TANZIA: Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Afariki Dunia

$
0
0


 Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi ametangaza kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais aliyefariki leo Jumatano saa 5:00 asubuhi, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam.

Serikali imetangaza siku 7 za maombolezo ambapo bendera zitapepea nusu mlingoti


Taarifa za msiba na maziko zitaendea kutolewa na serikali kwa ushikiriano karibu na familia pamoja na Chama cha ACT Wazalendo.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>