Serikali Yatoa Ratiba Ya Mazishi Ya Mzee Mkapa......Waziri Mkuu Asema Ataagwa...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa ataagwa Kitaifa Jumanne Julai 28 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na atazikwa kijijini kwao...
View ArticleLive: Tazama Rais Magufuli Anavyoongoza Mkapa Kuzikwa, Vilio, Huzuni Yatawala
Live: Tazama Rais Magufuli Anavyoongoza Mkapa Kuzikwa, Vilio, Huzuni Yatawala
View ArticleWaziri Mkuu wa Burundi Jenerali Alain Guillaume aondoka nchini leo
Waziri Mkuu wa Burundi Jenerali Alain Guillaume ameondoka nchini leo Julai 29,2020 baada ya kuwasilisha salamu za pole kufuatia kifo cha Mzee Mkapa.Mwenyeji wake Waziri wa Viwanda Mhe.Innocent...
View ArticleMwijaku afikishwa mahakamani akituhumiwa kusambaza picha za ngono
Msanii wa uigizaji nchini Tanzania, Mwemba Burton (35) maarufu Mwijaku amepandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akituhumiwa kusambaza picha za ngon kinyume cha sheria...
View ArticleRais Magufuli: Mkapa Alikataa Kuzikwa Dodoma
Rais John Magufuli amesema rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa alipenda nyumbani kwao Masasi ndiyo maana alikataa kuzikwa katika eneo lililotengwa jijini Dodoma kwa ajili ya viongozi wa...
View ArticlePICHA: Wanajeshi wakitoa heshima zao za mwisho kwa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa
Wanajeshi wakitoa heshima zao za mwisho kwa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa katika mazishi yako Lupaso, Masasi mkoani Mtwara.
View ArticlePICHA: Mama Anna Mkapa,Rais Magufuli Wakielekea kaburini kuweka udongo katika...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa, Mama Anna Mkapa wakati wakielekea...
View ArticlePICHA: Mkuu wa Majeshi, Jenerali Venance Mabeyo akiweka udongo katika kaburi...
Mkuu wa Majeshi, Jenerali Venance Mabeyo akiweka udongo katika kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, na kisha akapiga saluti kama ishara ya heshima.
View ArticlePICHA: Jeneza ambalo lina mwili wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa likiingizwa...
PICHA: Jeneza ambalo lina mwili wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa likiingizwa kaburini kijijini kwao Lupaso.
View ArticlePicha 13: Rais John Pombe Magufuli Aongoza Watanzania Katika Mazishi Ya Rais...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka udongo kwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa katika Mazishi yaliyofanyika...
View ArticleWatanzania Watakiwa Kuepuka Habari Za Uzushi
Watanzania wametakiwa kulisemea mambo mazuri Taifa lao ili kuwa na kidiplomasia nzuri na Mataifa mengine hususani wakati huu ambapo Taifa linaomboleza kifo Hayati Benjamini William Mkapa na kuachana na...
View ArticleTanzania Yachukuwa Uenyekiti Wa Nchi 79 Za OACPS Na Kuelezea Kipaumbele Chake...
Tanzania imesema itatumia kipindi chake cha uenyeketi wa nchi za Afrika,Caribbean na Pacific na Umoja wa nchi za Ulaya katika kusisitiza juu ya urejeshwaji wa rasilimali zilizoporwa katika nchi hizo...
View ArticleKanuni bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji(kuku Asili)....Soma Hapa Uwe Tajiri
Ufugaji wa kuku wa asili ni nyenzo muhimu katika kupambana na wimbi la umasikini kwa kuongeza kipato cha kaya. Hata hivyo, pamoja na soko la uhakika, bado ufugaji kuku haujaweza kutumika ipasavyo...
View ArticleWafanyabiasahara wawili Kortini Kwa Kutakatisha Bilioni 5.5
Wafanyabiasahara wawili wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka saba ikiwamo kukwepa kodi na kutakatisha Sh. bilioni 5.5.Washtakiwa hao ni Ike Godfrey maarufu kama Maliki (30), mkazi wa Tabata...
View ArticlePICHA: Rais Magufuli, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Jakaya Mrisho Kikwete...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuliakiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakijiandaa...
View ArticleTundu Lissu Akwama Kuhudhuria Kesi Yake Mahakamani
Kesi ya uchochezi inayomkabili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu leo Julai 30, 2020, imeahirishwa hadi Agosti 26, baada ya mtuhumiwa kushindwa kufika mahakamani.Kesi hiyo namba 236 ya mwaka...
View ArticleLIVE: Rais Magufuli Anazungumza na Wananchi
LIVE: Rais Magufuli Anazungumza na Wananchi
View ArticleWananchi wa Somanga Mkoani Lindi Wamshukuru Rais Magufuli, Mzee Amkabidhi...
Wananchi wa Somanga Mkoani Lindi wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwapa fedha na kujengwa Kituo cha Afya. Mzee Kimbwembwe amempa zawadi ya jogoo.
View Article