Waziri Simbachawene: Matukio Ya Uhalifu Nchini Yamepungua
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene (MB) amesema Jeshi la Polisi nchini limefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupunguza matukio ya uhalifu ikiwa ni pamoja na kuziba mianya ya uingizaji...
View ArticleTAKUKURU yawasimamisha kazi waliojenga nyumba zilizomkera Rais Magufuli
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewasimamisha kazi watumishi tisa waliohusika katika usimamizi na ujenzi wa majengo saba ya ofisi za taasisi hiyo ambayo Rais John Magufuli alieleza...
View ArticleVijana CUF wamchukulia Prof. Lipumba fomu ya kugombea Urais
Vijana wa Chama Cha Wananchi (CUF) Wilaya ya Kinondoni wamemchukulia fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Urais mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Prof. Ibrahim Lipumba.Katibu wa chama hicho Wilaya ya...
View ArticleTume ya Uchaguzi yabadili majina ya Majimbo matatu, Yatangaza Tarehe ya Kutoa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebadilisha kwa majina ya majimbo ambapo Jimbo la Chilonwa litaitwa Chamwino, Mtera linaitwa Mvumi na Kijito Upele lililopo Mjini Magharibi linaitwa Pangawe.Mabadiliko...
View ArticleKutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH
Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH mjukuu wa chiffu segere Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo fanya mawasiliano...
View ArticleFanyeni Kazi Kwa Kuzingatia Weledi : Jaji Kiongozi
Na Innocent Kansha Kilindi MahakamaJaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Dkt Eliezer Mbuki Feleshi amewataka Watumishi wa Mahakama ya Tanzania kufanya kazi kwa kujituma, kujitolea, na...
View ArticleOle Sendeka Aibuka Kidedea Kura za Maoni CCM Jimbo la Simanjiro
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka, ameongoza katika uchaguzi wa kura za maoni wa Jimbo la Simanjiro kwa kupata kura za 309, akifuatiwa na Kiria aliyepata kura 47 na wa tatu ni...
View ArticleViongozi Mbalimbali Waomboleza Kifo cha Rais Mstaafu Benjamin Mkapa
Kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Benjamin William Mkapa ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Julai 24, 2020, viongozi...
View ArticleSerikali Yaomboleza Kifo Cha Mzee Mkapa....Yawasihi Wanafamilia Na Watanzania...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa kilichotokea jijini Dar es Salaam na ametoa pole kwa familia kwa...
View ArticleFreeman Mbowe atuma salamu za rambirambi Kifo Cha Rais Mstaafu Benjamin Mkapa
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais mstaafu Benjamin William Mbowe ametuma salamu hizo kwa Rais wa...
View Article"Kifo ni Siri, Jana Niliongea na Mkapa"- Kikwete
Rais Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete amesema, jana tarehe 23 Julai 2020 alikwenda kumtembelea Mzee Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu hospitali kabla ya mauti kumfika."Kifo ni siri ya...
View ArticleTume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Yatoa Salamu za Rambirambi...
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) tumepokea kwa majonzi makubwa taarifa ya kifo cha ghafla cha mpendwa wetu, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
View Article