Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa, Mama Anna Mkapa wakati wakielekea kuweka Udongo kwenye Kaburi la Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa Kijijini Lupaso Masasi mkoani Mtwara
↧