$ 0 0 Mkuu wa Majeshi, Jenerali Venance Mabeyo akiweka udongo katika kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, na kisha akapiga saluti kama ishara ya heshima.