Iran yaionya Marekani kuhusiana na njama zake za kutaka kuishambulia kijeshi...
Msemaji wa makao makuu ya jeshi la Iran, Meja Jenerali Ebulfazl Shikarchi amesema shambulizi lolote la kijeshi kutoka kwa Marekani litajibiwa vikali kwa wao kushambulia maslahi ya Marekani katika eneo...
View ArticleTaifa Stars kushuka dimbani leo dhidi ya Senegal .....Mchezo Utapigwa Saa...
Timu yetu ya Tanzania, Stars leo Jumapili June 23 itachuana na Senegal katika mchezo wa Fainali za Afcon, mechi itakayopigwa saa 2 usiku kwa saa za nyumbani (Tanzania).Nahodha wa Taifa Satars, Mbwana...
View ArticleKatibu Mkuu CCM Dr. Bashiru ahoji maswali Haya kwa wanaosema uchumi wa...
NA MWAMVUA MWINYI,PWANIKATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa ,Bashiru Ally amezindua ujenzi wa ukumbi wa kisasa wa mikutano wa CCM mkoani Pwani,ambapo amechangisha zaidi ya milioni 25 na vifaa...
View ArticlePICHA: Rais Magufuli Ashiriki Misa Takatifu Ya Maadhimisho Ya Sherehe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Padre Dkt. Alister Makubi, Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es salaam...
View ArticleUpungufu Wa Nguvu Za Kiume Unaotokana Na Kisukari (Diabetic Nephropathy)
Ugonjwa wa kisukari (Diabetes Mellitus) huambatana na ongezeko la sukari(glucose) katika damu kwa kiwango kinachozidi kawaida. Homoni aina ya insulin ambayo hutolewa na kongosho ama hushindwa kufanya...
View ArticleUfahamu Ugonjwa Wa Ngiri Na Tiba Yake
Tatizo la Ngiri Linavyosababisha Upungufu wa Nguvu za Kiume na Maumbile Kusinyaa. Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikiria au...
View ArticleWaziri Kangi Lugola Ashangaa Kukuta Mahabusu Waliokaa Rumande Kwa Miezi 6...
WAZIRI wa mambo ya ndani nchini Kangi Lugola maarufu kama Ninja amefanya ziara ya kushtukiza katika kituo cha polisi Gogoni kilichopo wilaya ya kipolisi Kimara ikiwa ni katika kuangalia utendaji kazi...
View ArticleWaziri Mkuu Atoa Pole Kwa Naibu Katibu Mkuu Wa CCM Zanzibar Kufuatia Kifo Cha...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Naibu Katibu Mkuu wa CCM – Zanzibar, Abdallah Juma Mabodi ambaye amefiwa na Mkewe, Dkt. Badriya Abubakar Gurnah wakati alipokwenda nyumbani kwa wazazi wa...
View ArticleMarekani yashambulia mifumo ya kompyuta ya silaha za Makombora za Iran
Marekani imefanya mashambulizi ya mtandao kwenye mifumo ya silaha za Iran na kuiharibu kabisa.Tukio hilo limefanywa siku chache baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kutangaza kuachana na...
View ArticleUlevi Wa Kupindukia Wasababisha Kifo Cha Mwanamke Shinyanga
MKAZI wa kata ya kambarare Mjini Shinyanga Nadia Rajab (18)mhaya amefariki dunia baada ya pikipiki aliyokuwa amepanda ikiendeshwa na askari wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) Othuman Hassan (30)...
View ArticleSerikali Yapiga Marufuku Wanaoshitakiana Kugharimia Usafiri Mabaraza Ya Ardhi
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amepiga marufuku wananchi wanaoshitakiana katika Mabaraza ya Ardhi kutoa pesa kwa ajili ya kugharimia usafiri wa kwenda eneo...
View ArticleDr. Ndugulile Atoa Rai Kwa Jamii Zenye Ndoa Za Asili Kusajili Serikalini Ili...
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Ikiwa leo Juni 23,2019 ambapo Tanzania imeungana na mataifa mengine Ulimwenguni kuadhimisha siku ya Wajane Duniani,Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii jinsia...
View ArticleWema Sepetu amaliza siku saba za kukaa gerezani....Mahakama Yampa Onyo la Mwisho
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam nchini Tanzania imemuonya msanii wa Filamu nchini humo, Wema Sepetu(30), kutokukiuka masharti ya dhamana, vinginevyo haitasita kufutia dhamana yake.Kauli...
View ArticleViongozi Wa Serikali Watakiwa Kuilea Na Kuisadia Sekta Binafsi
Na Stella Kalinga, SimiyuMkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amewataka viongozi wa Serikali mkoani Simiyu kuisaidia na kuilea Sekta Binafsi ili iendelee kukua na wahakikishe kuwa maamuzi...
View ArticleRais Mstaafu Mkapa akumbuka alikosoma
Katika kuonesha anathamini alikotoka kielimu, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa anatarajiwa kuungana na wahitimu wengine wa shule kongwe ya Sekondari Ndanda ya Masasi, Mtwara kuitembelea...
View ArticleBajeti Kuuu ya Serikali Kupigiwa Kura ya Ndio au Hapana Kesho
Wabunge kesho wanatarajiwa kupiga kura kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali ya 2019/20 ya Sh trilioni 33.11 kwa kuitwa majina na kupiga kura ya Ndiyo au Hapana.Bajeti hiyo Kuu ya Serikali itapitishwa kama...
View ArticleMama adaiwa kumchinja mtoto wake na kumpika kama Supu
Mama Happiness Shadrack(36) Mkazi wa kijiji cha Buligi Kata ya Senga Wilayani na Mkoani Geita anayedaiwa ni mwenye tatizo la akili, amemchinja mtoto wake Martha Yakobo (1) mwaka mmoja na kisha...
View ArticleLugola: Mwanamke anayefikishwa Polisi hapaswi kukaguliwa na Askari wa kiume
Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani Nchi, Kangi Lugola imesema mtuhumiwa mwanamke anayefikishwa kituo cha polisi hapaswi kukaguliwa na askari wa kiume, kwamba kazi hiyo inapaswa kufanywa na...
View ArticleWazazi wapigwa marufuku kufanya biashara na watoto Wadogo sokoni
Uongozi wa soko kuu la mitumba la Memorial, Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, umeahidi kushirikiana na jeshi la Polisi kupiga marufuku wafanyabiashara wa soko hilo kwenda sokoni hapo na watoto...
View Article