Quantcast
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waasi wa Houthi Yemen washambulia Uwanja wa Ndege Saudi Arabia

Waasi wa Houthi wa nchini Yemen wameushambulia uwanja wa ndege wa Abha ulioko kusini magharibi mwa Saudi Arabia, na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kuwajeruhi wengine saba. Taarifa hizo ni kulingana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Iran Yasema Mashambulizi ya Kimtandao Yaliyofanywa na Marekani Dhidi Yake...

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema kuwa mashambulizi ya hivi karibuni ya kompyuta ya Marekani dhidi ya mfumo wa makombora wa Iran yameshindwa kuleta madhara na kwamba mwaka jana pekee Tehran...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AhadI Ya Rais Magufuli Ujenzi wa Barabara Geita Kutimizwa

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.Serikali imesema ahadi  ya  Rais Magufuli ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami  ya kutoka Kahama ,Bulyang’hulu   hadi Geita  yenye urefu wa  km   120 ipo palepale...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kesi ya Uchochezi Inayomkabili Tundu Lissu Yapigwa Kalenda

Kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu na wenzake watatu imeahirishwa baada ya mbunge huyo kuendelea na matibabu nje ya nchi.Mbali na Lissu washtakiwa wengine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Migiro apokea vifaa vya mafunzo ya utabibu vyenye thamani ya Tsh....

Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza ulipokea kifaa muhimu cha kufundishia madaktari, wauguzi na wataalamu wengine wa sekta ya afya, pamoja na vitabu vya kitabibu kutoka katika Jumuiya ya Watanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania Yasaini Mkataba Wa Kupatiwa Fedha Za Msaada Bilioni 60 Za Kitanzania...

Tanzania imetia saini Mkataba wa kupatiwa fedha za Msaada wa Shilingi Bilioni 60 za kitanzania kutoka Serikali ya Watu wa China bila ya masharti yeyote ambapo Serikali ya Tanzania itaamua matumizi yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Unaotokana Na Kisukari (Diabetic Nephropathy)

Ugonjwa wa kisukari (Diabetes Mellitus) huambatana na ongezeko la sukari(glucose) katika damu kwa kiwango kinachozidi kawaida. Homoni aina ya insulin ambayo hutolewa na kongosho ama hushindwa kufanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ufahamu Ugonjwa Wa Ngiri Na Tiba Yake

Tatizo la Ngiri Linavyosababisha Upungufu wa Nguvu za Kiume na Maumbile Kusinyaa.  Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikiria au...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Amjulia Hali Mkuu Wa Wilaya Ya Chemba Simon Odunga

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiakimjulia hali Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga, aliyelazwa, katika Hospitali ya Mkoa, jijini Dodoma, Juni 24.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yakerwa na vitendo vya Ushirikina katika njia panda iliyopo karibu...

SALVATORY NTANDUSerikali wilayani Kahama imesema itaweka ulinzi katika njia panda inayoelekea katika nyumba ya mkuu wa walaya ya kahama mkoani shinyanga ambayo inatumika kufanyia vitendo vya ushirikina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yaitaka Sekta Ya Fedha Iwe Imara na Ihakikishe Huduma Zake...

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema sekta ya fedha inapaswa kuwa imara na kuhakikisha huduma zake zinawafikia wananchi wengi katika maeneo ya mijini na vijijini ili iweze kutoa mchango unaokusudiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne June 25

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Afanya Ziara Ya Kukagua Ujenzi Wa Daraja La Baharini

Rais John Magufuli hapo jana aliembelea mradi wa ujenzi wa daraja linalokatiza baharini kwa kuunganisha maeneo ya Aga Khan na Coco Beach Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujionea maendeleo ya ujenzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yaweka mikakati Viwanja vya Ndege

Serikali imesema imeweka mipango kabambe ya kuboresha viwanja vidogo vya ndege (Airstrips), ili viweze kutumika kirahisi na ndege ndogo zinazosafirisha Watalii kutembelea mbuga mbalimbali za wanyama na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baba Adaiwa Kubaka Na Kulawiti Binti Yake

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHAJESHI la polisi mkoani Pwani,linamshikilia Suleiman Issa Ngorombwe (43) mfanyabiashara na mkazi wa Mailmoja Tangini ,Kibaha,kwa kudaiwa kumbaka na kumlawiti binti yake wa miaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Trump asaini vikwazo vipya na vikali dhidi ya Iran

Rais Donald Trump wa Marekani hapo jana amesaini amri ambayo amesema inaiwekea vikwazi vipya na vikali zaidi Iran. Vikwazo hivyo vitamlenga zaidi Kiongozi wa Kidini wa Iran Ayatollah Ali Khamenei...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video Mpya ya Diamond Platnumz - KANYAGA

Video Mpya ya Diamond Platnumz - Kanyaga

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LIVE: Rais Magufuli Akizindua Ghala, Mitambo Ya Gesi Kigamboni

LIVE: Rais Magufuli Akizindua Ghala, Mitambo Ya Gesi Kigamboni

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kauli ya Serikali Kuhusu Watumishi wa Umma Wanaojifungua Mapacha au Watoto Njiti

Serikali  imesema kanuni za kudumu za utumishi wa umma za mwaka 2009 hazijaanisha masharti ya likizo ya uzazi kwa wanawake wanaojifungua mapacha zaidi ya wawili au watoto njiti.Hayo yameelezwa leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rostam: Misimamo dhabiti ya Rais Magufuli kwenye uwekezaji imetufanya kurudi...

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Ltd. Mfanyabiashara Rostam Aziz, amemshukuru Rais John Magufuli kwa kuweka usawa wa kibiashara katika miaka minne ya uongozi...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live