Serikali yakiri ‘udhaifu’ vitambulisho vya wajasiriamali....Yaahidi Kuandaa...
Serikali imekiri ‘udhaifu’ katika utekelezaji wa vitambulisho vya wajasiriamali na imesema itatoa waraka utakaoelekeza ni nani anatakiwa kutozwa kodi na nani anatakiwa kupata vitambulisho. Hayo...
View ArticleUpungufu Wa Nguvu Za Kiume Unaotokana Na Kisukari (Diabetic Nephropathy)
Ugonjwa wa kisukari (Diabetes Mellitus) huambatana na ongezeko la sukari(glucose) katika damu kwa kiwango kinachozidi kawaida. Homoni aina ya insulin ambayo hutolewa na kongosho ama hushindwa kufanya...
View ArticleUfahamu Ugonjwa Wa Ngiri Na Tiba Yake
Tatizo la Ngiri Linavyosababisha Upungufu wa Nguvu za Kiume na Maumbile Kusinyaa. Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikiria au...
View ArticleRais Magufuli: Uzeni Gesi Msiuze Mitungi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wafanyabiashara na wauzaji wa gesi nchini kuuza bidhaa ya gesi tu na sio mitungi. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa...
View ArticleAjali yaua mmoja Njombe, 22 wajeruhiwa
Na Amiri kilagalila-NjombeGari la Abiria (Ibbu Trans) lenye namba za usajili T 225 DGF, Mitsubish Rosa linalofanya safari zake kutoka Njombe kuelekea wilayani Ludewa limepata ajali katika eneo la...
View ArticleWadaiwa sugu SIDO mkoani Njombe mali zao kutaifishwa
Na Amiri kilagalila-Njombe Shirika la kuhudumia viwanda vidogo mkoani Njombe SIDO limesema lipo hatarini kupoteza zaidi ya mil 100 ambazo zilikopeshwa kwa wajasiriamali, wabunifu na wamiliki wa viwanda...
View ArticleMbunge Ashauri Tozo Ya Pombe ,sigara Ipande Maradufu
Na.Faustine Gimu Galafoni, Ikiwa leo Juni 25,2019 Bunge la Tanzania likiwa lina piga kura ya ndio au hapana ya kuipitisha au kutoipitisha bajeti kuu ya serikali,wabunge wamekuwa wakitoa michango na...
View ArticleNdugai ataka tamko la serikali kuhusu Watanzania Kupewa Masaa 24 Waondoke Kenya
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ameitaka serikali kutoa tamko kufuatia kauli yenye kuashiria ubaguzi aliyoitoa mmoja wa wabunge wa Kenya.Amesema hayo kufuatia kusambaa kwa...
View ArticleWaziri Mkuu Majaliwa Atoa Kauli Ya Serikali Bungeni Kuhusu Watanzania...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Kenya imesema kauli iliyotolewa na Mbunge wa jimbo la Starehe nchini humo, Charles Njagua Kanyi maarufu Jaguar si kauli ya Serikali, hivyo amewataka...
View ArticleJeshi La Polisi Dodoma Lakamata Wahalifu 10 Wanaojihusisha Na Uhalifu Wa Simu...
Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limefanikiwa kuwakamata watu kumi (10) wanaojihusisha na usajili line za simu kwa kutumia vitambulisho vya watu wengine na kuzalisha...
View ArticleRais Magufuli amtumbua Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Mussa C. Juma kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA).Uteuzi wa Dkt. Mussa C. Juma umeanza June 25,...
View ArticleDirisha la Maombi ya mikopo elimu ya juu kufunguliwa Julai Mosi
Tunapenda kuwafahamisha waombaji mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2019/2020 kuwa dirisha la kuomba mkopo kwa njia ya mtandao litafunguliwa rasmi Jumatatu, Julai 1, 2019 na kufungwa Alhamisi,...
View ArticleDiamond Platnumz azindua Wasafi Festival 2019
Uongozi wa WCB pamoja na Wasafi Media kwa pamoja wamezindua rasmi Tamasha la Wasafi Festival 2019 ikiwa ni msimu mpya wa Mapinduzi ya Burudani nchini.Msanii Diamond Platnumz ndiye ametangaza ujio wa...
View ArticleBunge laipitisha Bajeti ya Serikali ya mwaka 2019/2020
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha kwa kishindo Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2019/2020.Bajeti hiyo ilipitishwa mjini Dodoma jana baada wabunge kupiga kura ya wazi ya kuitwa mbunge...
View ArticleRais Magufuli: Mradi wa majengo ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii...
Rais Magufuli amesema mradi wa majengo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) uliopo wilayani Kigamboni mkoani Dar es Salaam ni mradi bomu na wa kifi sadi.Ameyasema hayo jana wakati akizindua...
View ArticleNdugai Akerwa na Kiongozi wa Serikali Aliyesema Mbele ya Rais Kuwa Wabunge...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kiongozi mmoja wa Serikali aliyezungumza maneno yasiyofaa kuhusu Bunge la Tanzania na wabunge na kumdanganya hadharani Rais John Magufuli kuwa wawakilishi...
View ArticleWananchi 13,234 Wapatiwa Elimu Ya Madhara Ya Mimba Za Utotoni
Na.Faustine Gimu Galafoni,DodomaJumla ya wananchi 13,234 wamefikiwa na elimu ya madhara ya mimba za utotoni hapa nchini .Hayo yamesemwa leo bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya...
View ArticleUpungufu Wa Nguvu Za Kiume Unaotokana Na Kisukari (Diabetic Nephropathy)
Ugonjwa wa kisukari (Diabetes Mellitus) huambatana na ongezeko la sukari(glucose) katika damu kwa kiwango kinachozidi kawaida. Homoni aina ya insulin ambayo hutolewa na kongosho ama hushindwa kufanya...
View ArticleSerikali Kutoa tamko kuhusu ajira za madereva nchini
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Walemavu, Anthony Mavunde amesema kuanzia Julai Mosi, 2019 Serikali ya Tanzania itatoa tamko kuhusu ajira za madereva...
View Article