Ufahamu Ugonjwa Wa Ngiri Na Tiba Yake
Tatizo la Ngiri Linavyosababisha Upungufu wa Nguvu za Kiume na Maumbile Kusinyaa. Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikiria au...
View ArticleAbiria saba wanusurika kifo kwa ajali ya basi kahama
NA SALVATORY NTANDUAbiria saba Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamenusurika kifo baada lori la mizigo aina ya Fuso lenye T 322 ACC walilokuwa wakisafiria kugongana na basi aina ya Scania lenye namba...
View ArticleMbunge Jaguar wa Kenya Aliyetishia Kuwatimua Watanzania Ndani ya Masaa 24...
Maafisa wa polisi nchini Kenya wamemkamata mbunge wa jimbo la Starehe anayedaiwa kutoa kauli za chuki dhidi ya wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda waliopo jijini Nairobi.Vyombo vya habari vya nchi...
View ArticleRosa Ree Atoa Wimbo Mpya Akimshirikisha Ruby -Champion
Rosa Ree Atoa Wimbo Mpya Akimshirikisha Ruby -Champion
View ArticleWaziri Mhagama Apokea Msaada Wa Vifaa Saidizi Na Cherehani Kutoka Ubalozi Wa...
NA; Mwandishi WetuWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama amepokea cherehani na vifaa siadizi kwa ajili ya Watu wenye...
View ArticleWazee Shinyanga waomba kupewa kipaumbele katika huduma za afya
SALVATORY NTANDUSerikali Mkoani Shinyanga imewataka wakurugenzi wa Halmashauri sita za mkoa huo kuhakikisha wanaweka Madirisha maalumu ya kutolea huduma za afya kwa wazee katika Zahabati, Vituo vya...
View ArticleMadini ya Mamilioni ya Pesa Yakamatwa Yakitoroshwa Kuelekea Kenya
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limekamata madini aina mbalimbali ambayo yalikuwa yakitoroshwa kuelekea nchi jirani ya Kenya.Madini hayo zaidi ya kilo 36 yamekamatwa jana Jumatano Juni 26, 2019 na...
View ArticleAskari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Afikishwa Mahakamani Kwa...
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), MT 77341 Johanes Kubambi, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
View ArticleDaktari Feki Akamatwa Nyumbani Akitibu Watu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mtu mmoja Abdallah Bushiri Shija (42), mkazi wa Igodima Jijini Mbeya kwa tuhuma za kufanya kazi za utabibu bila kuwa na taaluma ya utabibu hususani kwa...
View ArticleZitto Kabwe Aipongeza Serikali...Chama Chake Chamkana, Chasema Siyo Yeye
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT Wazalendo, Mhe. Zitto Kabwe amesema kuwa licha ya yeye kuwa mpinzani lakini ataendelea kuipongeza Serikali ya Rais Magufuli.Zitto kupitia ukurasa wake wa...
View ArticleBaadhi ya Wabunge Kenya wamuunga mkono Jaguar....Wataka aachiwe huru
Matamshi ya mbunge wa Starehe nchini Kenya Charles 'Jaguar' Kanyi kuhusu kuwatishia raia wa kigeni wakiwemo watanzania wanaofanya kazi nchini Kenya yaliwasilishwa jana mbele ya kikao cha bunge ili...
View ArticleWatumishi MWAUWASA Wapewa Somo
Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA) wametakiwa kushirikiana katika utekelezaji wa majukumu yao na kufanya kazi kwa uadilifu.Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA,...
View ArticleFahamu Chanzo Halisi cha Kupungukiwa Nguvu za Kiume
Unafahamu kwa kina tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume na maumbile ya kiume kusinyaa?Wanaume wengi kwa sasa wanasumbuliwa na tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume na maumbile kuwa mafupi na wengi wao...
View ArticleMbunge Jaguar wa Kenya aburuzwa mahakamani
Mbunge wa Starehe, nchini Kenya Charles Njagua maarufu Jaguar na amefikishwa mahakamani leo. Hata hivyo, ametupwa ndani hadi kesho mahakama itakapoamua iwapo ataachiliwa kwa dhamana.Afisi ya Mkurugenzi...
View ArticleMajambazi yatelekeza Silaha aina ya Gobole Kahama baada ya kubaini...
NA SALVATORY NTANDUJeshi la Polisi mkoani Shinyanga linaendelea kuwatafuta Majambazi wawili waliotelekeza silaha aina ya Gobole iliyotengenezwa kienyeji,panga mmoja pamoja na pikipiki aina ya SANLG...
View ArticleNape Nnauye Akerwa Jina Lake Kutajwa Kwenye Tweets za Zitto...
Mbunge wa Mtama (CCM) Nape Nnauye amezungumzia kuhusiana na kutajwa katika ujumbe uliochapishwa kwenye akaunti ya kijamii ya Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo) Zitto Kabwe.Kupitia ukurasa wa...
View ArticleBashe Ageuka Mbogo Baada ya Kutajwa kwenye Tweets za Zitto Kabwe....."
Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe ameonesha kutofurahishwa, baada ya yeye, Januari Makamba pamoja na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye, kutajwa kuwa miongoni mwa watu ambao washajiunga na chama cha ACT -...
View ArticleWakulima mkoani Mbeya walalamikia mifugo kuingia mashambani
Na Amiri kilagalila Licha ya serikali kukemea vitendo vya mapigano baina ya wafugaji na wakulima nchini, wakazi wa kijiji cha Ipwani wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wameiomba serikali kuwakamata...
View ArticleMaamuzi Ya Kikao Cha Halmashauri Kuu Ya Taifa NEC Ya CCM Kilichoongozwa Na...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuujulisha umma wa wana CCM na watanzania kwamba Halmashauri Kuu ya Taifa (HKT) imeketi leo Jijini Dar es Salaam chini ya Ndg. John Pombe Joseph Magufuli Mwenyekiti...
View Article