Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pinda: Mnapaswa Kudumisha Nidhamu Ya Matumizi Ya Fedha Baada Ya Kustaafu

NA. MWANDISHI  WETUWaziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mizengo  Pinda amewaasa watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wanaotarajia kustaafu hivi karibuni kudumisha nidhamu katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) Yaimarisha Utendaji wake Kwa Kutumia...

Na Frank Mvungi- MAELEZOTume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) imetajwa kuongeza tija katika utendaji wake kutokana na matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)katika huduma zake kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Trump Kasema Kilichomfanya Asiishambulie Kijeshi Irani Ni Kuhofia Vifo vya...

Rais wa Marekani Donald Trump amesema leo kuwa alisitisha shambulizi la kijeshi dhidi ya Iran kwa sababu jibu kama hilo kwa hatua ya Iran kutungua ndege ya Marekani isiyoruka na rubani lingesababisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya June 22

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bodi ya TCRA watembelea maktaba mpya ya kisasa UDSM

NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidBODI ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), pamoja na Menejimenti ya Mamlaka hiyo, zimemefanya ziara kwenye kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere ili kujionea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Misri Yaanza Vizuri Michuano ya AFCON Kwa Ushindi wa Bao 1:0 Dhidi ya Zimbabwe

Michuano ya 32 ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika imefungua pazia lake nchini Misri jana Ijumaa kwa mchezo kati ya wenyeji Mafarao wa Misri  dhidi ya timu ya taifa ya Zimbabwe.Katika mchezo huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wivu Wa Mapenzi Wasababisha Mauaji Shinyanga

SALVATORY NTANDUMkazi wa Mhunze wilayani Kishapu mkoani Shinyanga Rafael Martine (34) anashikililiwa na Jeshi la polisi kwa Tuhuma ya kumuua Shija Mahoiga (45) mkazi wa kijiji cha Igaga kwa kutumia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira Ahimiza Ushirikiano kwa...

Na; Mwandishi WetuKatibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Bw. Andrew Massawe amewaasa watumishi wa ofisi hiyo kufanyakazi kwa ushirikiano ili waweze kutumiza malengo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chama kikuu cha Ushirika Kahama (KACU) chatoa Onyo Kali Kwa Viongozi Wa Vyama...

SALVATORY NTANDUChama kikuu cha Ushirika Kahama (KACU) Katika mkoa wa kitumbaku Kahama, kimekitoza faini ya shilingi laki 300,000  viongozi wa chama cha Msingi Mweli baada ya kubainika kwa mwanachama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bunge Sports Club Kutoana Jasho Na Timu Ya NMB Katika Uwanja wa Jamhuri...

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Timu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania Bunge Sports Club leo Juni 22,2019  wanatimuana Vumbi nene  katika Bonanza la Michezo mbalimbali  na timu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Viwanda na Biashara Awahakikishia Soko la Uhakika Wakulima wa Tumbaku

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa amesema Serikali itatafuta wanunuzi wa zao la Tumbaku endapo Kamapuni iliyokuwa inanunua awali ya TLTC haitaendelea na ununuzi huo.Amesema kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili June 23

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkuu wa Majeshi Ethiopia apigwa risasi

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amefahamisha kuwa mkuu wa majeshi Seare Mekonen alipigwa risasi baada ya kuzuka machafuko Jumamosi jioni katika taifa hilo la Pembe ya Afrika. Hata hivyo hali ya mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kagame Azungumzia Uwezekano wa Kutokea Vita Kati ya Rwanda na Uganda

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amepuuza uwezekano wa nchi yake kuingia vitani na Uganda, ingawa amesisitiza kuwa nchi hiyo jirani inafadhili waasi wa nchi yake.Kagame amesema hayo katika mahojiano na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa Umma kuhusu Kikao cha Kamati Kuu(CC) na Halmashauri Kuu ya Taifa...

Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania kinatarajia kufanya vikao vyake Kamati Kuu (CC) pamoja na Halmashauri kuu (NEC) wiki ijayo Dar es Salaam.Wakati kikao cha kamati kuu vitafanyika Juni 26, 2019...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu: Watumishi Ni Muhimu Kushiriki Michezo

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ni muhimu kwa watumishi kushiriki katika michezo mbalimbali kwa kuwa inaimarisha afya pamoja na kudumisha mshikamano.Ametoa kauli hiyo jana (Jumamosi, Juni 22, 2019)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watafiti Watakiwa Kutumia Mbinu Za Kisayansi Ili Kuleta Tija Katika Jamii

Na. Peter Haule na Farida Ramadhani WFM, DodomaWatafiti nchini wametakiwa kuweka mkazo katika mbinu za utafiti zinazokidhi viwango vya kimataifa ili kuwa na majibu ya tafiti zenye tija zilizo na lengo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watumishi Mambo Ya Ndani ‘waikosha’ Hospitali Ya Mirembe, Wapewa Elimu

Na Mwandishi Wetu, MOHA UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa ya Wagonjwa wa Akili ya Mirembe, mkoani Dodoma, umefurahishwa na kitendo cha watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwenda kufanya usafi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vanessa Mdee atangaza rasmi kuachana na Juma Jux

Msanii wa Bongo Fleva Vanessa Mdee ametangaza rasmi kupitia Instagram story yake kuwa ameachana na aliyekuwa mpenzi wake Juma Jux baada ya shabiki kuuliza kama wameachana   na Jux.Vanessa Mdee alijibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakala wa CIA anyongwa nchini Iran

Taarifa iliyotolewa na mahakama ya kijeshi nchini Iran inasema adhabu ya kunyongwa hadi kufa aliyopewa jasusi wa CIA na Marekani,Jalal Haji Zevar imetekelezwa katika gereza la Recai Shar lililopo kerec...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>