Maneno ya Rais Magufuli akimtakia Heri ya siku ya kuzaliwa TB Joshua
Rais John Magufuli jana alimtumia salamu za heri ya siku ya kuzaliwa, mchungaji maarufu wa Nigeria, TB Joshua, aliyefikisha miaka 55. Rais Magufuli alituma salamu hizo kwenye ukurasa wake wa twitter,...
View ArticleTunatibu Na Kuponesha Kabisa Upungufu Wa Nguvu Za Kiume, Maumbile Mdogo,...
TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO BUSHA BILA KUPASUA PRESHA VIDONDA VYA TUMBO : Asilimia kubwa ya wanadamu wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na wapo waliohangaika...
View ArticleWanunuzi Wa Pamba Waishukuru Serikali
WANUNUZI wa zao la pamba wameishukuru Serikari kwa kuweka mfumo mzuri wa ununuzi wa zao hilo, ambalo kwa mwaka huu linauzwa kupitia katika minada inayosimamiwa na Vyama vya Msingi vya Ushirika...
View ArticleMamboSasa: Dr Shika Hana Hela Yoyote, Ni Muongo
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, amesema kuwa Dk. Shika anacheza na akili za watu na hana fedha yoyote aliyopeleka benki kama alivyodai.Akizungumza na Redio Times Fm, leo...
View ArticleTatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo
Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo Ya Uume Limekuwa Kubwa Kwa Lika Zote Hapa Kwetu Na Duniani Kote. Tatizo Si Tatizo Bali Ni Iletiba Sahihi Ya Matatizo Haya Chanzo Chake Na...
View ArticleWaziri Nchemba: Ni Kosa Polisi Kumkamata Mtu Mwingine kwa Kosa la Mwingine
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema si sawa Jeshi la Polisi kumchukulia hatua mtu ambaye si mkosaji kwa kosa la mtu mwingine.Dkt. Mwigulu amesema hayo bungeni leo wakati akijibu...
View ArticleMwenyekiti PAC akalia kuti kavu sakata la BoT
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Naghenjwa Kaboyoka ameingia matatani baada ya kutoa majibu ya madai ya kuwepo kwa tuhuma za ufisadi katika Benki Kuu ya Tanzania...
View ArticleDawa Za Nguvu Za Kiume Na Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa
Asilimia 45-80 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kutowatimizia vyema wake au wapenz wao na kuwasababishia kutoka nje ya mahusiano yao. NINI CHANZO CHA HAYO? Kupiga punyeto,Ngiri, Vidonda vya...
View ArticleBajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/19 Kusomwa Kesho Bungeni
Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambayo ni ya tatu kwa Serikali ya Rais John Magufuli, itasomwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango kesho Alhamisi.Spika wa Bunge, Job...
View ArticleBilioni 22.5 zatengwa kwaajili ya matumizi ya uzazi wa mpango
Serikali kupitia Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa kwa mwaka wa fedha 2018/2019 imepanga kutumia shilingi 22.5 kwaajili ya matumizi ya uzazi wa mpango.Akizungumza...
View ArticleWema Sepetu Kuanza Kujitetea June 19
Muigizaji wa filamu Wema Sepetu na wafanyakazi wake wawili wanaokabiliwa na kesi ya kutumia dawa za kulevya katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wataanza kujitetea Juni 19, 2018.Wema na wenzake...
View ArticleKamishna Mkuu Wa TRA Awashukuru Wafanyabiashara Jijini Dodoma
Na Veronica KazimotoKamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Charles Kichere amewashukuru wafanyabiashara jijini Dodoma kwa mchango wao wa kulipa kodi na kuiwezesha Serikali kutekeleza wajibu...
View ArticleSimbacxhawene Awasilisha Azimio la Kumpongeza Rais Magufuli Kwa Kuiendeleza...
Mbunge wa Kibakwe (CCM) George Simbachawene amewasilisha azimio la kuitaka Serikali kuharakisha mchakato wa Muswada wa Sheria ya kuifanya Dodoma kuwa makao makuu na kuuleta bungeni.Akiwasilisha azimio...
View ArticleLembeli atangaza kuachana na siasa
Mbunge wa zamani wa Kahama, (CCM) James Lembeli, ametangaza kuachana na siasa akitaja sababu kuu mbili.Lembeli amesema ameamua kuachana na siasa kwa sababu mashirika na taasisi anayofanya nayo kazi,...
View ArticleJeshi la Polisi Kuwashughulikia Matapeli Wa Mitandaoni
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, amesema kuwa Jeshi la Polisi kushirikiana na TCRA kuna watu wanaotapeli kwa njia ya mtandao wameshawakamata na jambo hilo bado linafanyiwa...
View ArticleWabunge Wagawanyika azimio la kumpongeza Rais Magufuli Lililotolewa na...
Wabunge wamegawanyika wakati wa kujadili azimio la kumpongeza Rais John Magufuli kwa uamuzi wa kuendeleza mji wa Dodoma na kuupa hadhi ya Jiji.Azimio hilo limewasilishwa na Mbunge wa Kibakwe (CCM)...
View ArticleKwanini Saa Za Automatic Ni Maarufu Tanzania
Kwanini Saa Za Automatic Ni Maarufu Tanzaniasaa za automatic ni saa ambazo miaka ya karibuni zimepata umaarufu hasa kwenye mambo ya fashion ya saa hasa za mtindo wa skeleton kama hiyo juu kwenye...
View ArticleBodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) yawatumbua vigogo sita
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imewafukuza kazi wakurugenzi wake sita kwa tuhuma mbalimbali zinazowakabili ikiwamo uzembe kazini.Akizungumza leo Juni 13, Mkurugenzi wa HESLB Abdul...
View ArticleMoto Mkubwa Wateketeza Ghala La Kuhifadhia Bidhaa Kariakoo
Jengo la ghorofa mbili lililopo mtaa wa Agrey na Livingstone, Kariakoo limeteketea kwa moto.Moto huo umeanza leo Juni 13 saa 4 asubuhi na kuteketeza mali zote zilizohifadhiwa kwenye jengo...
View Article