Quantcast
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lembeli atangaza kurejea CCM

Mbunge wa zamani wa Kahama, James  Lembeli ametangaza kurejea CCM.Ametangaza uamuzi huo leo Juni 13, 2018 muda mfupi baada ya kutangaza kuachana na siasa akidai ni kwa sababu ya kubanwa na utaratibu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) wataka uchunguzi tukio la daktari kupigwa...

Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), kimelitaka Jeshi la Polisi kuchunguza na kuweka taarifa sahihi kuhusu tukio la kushambuliwa na polisi kwa Mkuu wa Kituo cha Afya cha Katoro, Geita Dk Peter...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally aonyesha makali yake CCM

Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema atawafukuza uanachama watendaji wote watakaoonekana wanabeba mikoba ya wagombea na kushabikia makundi ya siasa ndani ya chama hicho.Dk Bashiru ameyasema hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya June 14

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Je! Ni Kweli Mtu Akichanjiwa Lufakale Hawezi Kufa ?

Lufakale  ni  mti  unao patikana  porini.  Ni  mti mzito  na wenye  mambo  mazito sana. Mti  huu  una sifa  nyingi lakini  inayo julikana  zaidi  na  watu  ni  sifa  moja.  Nayo  ni  kwamba mtu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Ummy Aziagiza Halmashauri Zote Nchini Kuweka Kambi Za Uchangiaji Damu...

Na.Alex Sonna,DodomaWaziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu amezitaka halmashauri zote nchini kuweka kambi za uchangiaji damu mara tatu kwa Mwaka ili kuweza kufikia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAKWATA yapiga marufuku kutangaza Eid

Baraza Kuu la waislam Tanzania (BAKWATA) limepiga marufuku utangazaji wa sherehe za Iddi na sherehe zozote zile za dini ya Kiislam bila kupata vibali vya baraza hilo ambalo ndio chombo kikuu cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EID OFA Punguzo 20%, Pata saa Hii ya Automatic Hapa

bonyeza buy now kuagiza saa hii jaza detail zako tutaleta utalipa mzigo ukifika majiji yote TanzaniaSPECIFICATION1.automatic watch2.made with steel3.water proof 3atm4.full boxed

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbowe na Wenzake Wasomewa Mashitaka Mapya 13

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe na vigogo wengine saba wa chama hicho wamesomewa mashtaka mapya 13 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Mbowe na wenzake walisomewa mashtaka hayo jana  Juni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dawa Za Nguvu Za Kiume Na Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa

Asilimia 45-80 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kutowatimizia vyema wake au wapenz wao na kuwasababishia kutoka nje ya mahusiano yao. NINI CHANZO CHA HAYO? Kupiga punyeto,Ngiri, Vidonda vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kombe La Dunia Kuanza Leo, Wenyeji (Urusi) Wanafungua Michuano Na Saudi Arabia

Sherehe ya ufunguzi inabidi kuanza nusu saa kabla ya Urusi kucheza mechi ya ufunguzi dhidi ya Saudi Arabia (mishale ya saa 18:00 za jioni) Sherehe hizo zitadumu kwa muda wa nusu saa tu ili kupisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri Mabula Apata Pigo Tena

Naibu  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula.  amepata pigo la kuondokewa na mumewe aliyefariki dunia jana Jumatano, Juni 13, 2018 majira ya saa 11 jioni katika Hospitali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahakama yatengua kifungo cha miaka 15 jela cha Askari Polisi aliyemuua...

Mahakama ya Rufaa imetengua kutiwa hatiani kifungo cha miaka 15 jela alichopewa askari polisi, Pacificus Simon aliyeshtakiwa kwa kumuua mwandishi wa habari wa Kituo cha Channel Ten, Daudi Mwangosi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hashim Rungwe Asema Yuko Tayari Kujiunga na Akina Mbowe ili Kuongeza Nguvu

Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe amesema kuwa yupo tayari kuungana na upinzani pale muda utakapofika na kujiridhisha kuwa mipango inatekelezeka.Rungwe amesema hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mpango: Akiba ya Fedha za Kigeni Imeongezeka na Kupita Viwango vya EAC

Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango amesema akiba ya fedha za kigeni imeongezeka kwa mwaka 2017, na kupita viwango vilivyowekwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).Amesema hayo leo bungeni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge aiomba serikali kutoa elimu bure kidato cha tano na sita

Serikali kupiti Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi Teknolojia, William Ole Nasha amesema lengo la serikali huko mbeleni kadiri uwezo utakavyo ruhusu itatoa elimu bure hadi chuo kikuu.Nasha ameyabainisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ratiba Ya Mechi Za Ligi Kuu England Imetoka.....Arsenal Kuanza Na Manchester

Ratiba ya Ligi Kuu England imetoka rasmi leo ambapo mechi za kwanza zitaanza kuchezwa Jumamosi ya Agosti 11 2018.Ratiba inaonesha Arsenal itaanza na mabingwa watetezi wa taji hilo, Manchester City huku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jishindie Gari la Bure Toka Japan.....Kushiriki Ni Bure Kabisa

Kampuni ya Car From Japan huendesha mashindano ya magari ya Bure kabisa  kila mwezi. shindano hili ni Bure na huhitaji kutoa chochote kushiriki.Mshindi ataletewa gari lake alitakalo hadi nchini mwake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Kuandaa Mazingira Rafiki ya Kufanya Biashara Nchini

Baada ya kushuhudia ushiriki mdogo wa sekta binafsi kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo, Serikali imeandaa mpango kabambe wa kuboresha mazingira ya biashara ili kuongeza ushiriki wao.Hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ratiba Ya Mechi Zote Kombe La Dunia Hadi Fainali

Leo ndiyo ufunguzi rasmi wa Fainali za Kombe la Dunia 2018 zitakazopigwa nchini Urusi.Tazama  hapa  ratiba ya mechi zote za michuanpo hiyo kuanzia ile ya ufunguzi kati ya wenyeji Urusi na Saudi Arabia...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>