Ziara Ya Ujumbe Wa Idara Ya Maadili Na Nidhamu Ya Chama Tawala Cha Frelimo...
Jana tar. 13 Juni, 2018 Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha imekutana na Ujumbe wa Idara ya Maadili & Nidhamu ya Chama Tawala cha FRELIMO Kutoka Nchini Msumbiji. Ujumbe huo...
View ArticlePolisi yatoa onyo magari ya Serikali yanayovunja sheria
Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limesema linaanzisha operesheni maalum kuanzia leo Juni 14,2018 ya kukamata magari yote yatakayopita katika barabara za mwendokasi yakiwemo magari ya...
View ArticleMikopo Sekta binafsi Imeongezeka kwa Bilioni 75
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema mikopo iliyotolewa kwa sekta binafsi katika kipindi cha mwaka 2017 imeongezeka kwa Bilioni 75Mikopo hiyo imeongezeka kutoka Sh16.808 trilioni...
View ArticleWaziri Mpango: Shilingi ilishuka kwa Shilingi 57 mwaka jana
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema licha ya uchumi kuwa imara lakini thamani ya Shilingi dhidi ya Dola ya Marekani ilishuka kidogo.Akizungumza leo Juni 13, wakati akiwasilisha...
View ArticleChenge aitaka serikali kuangalia upya katazo la kusafirisha madini ghafi
Mwenyekiti wa Bunge Andrew Chenge ameiagiza Serikali kuangalia upya katazo la kusafirisha madini ghafi (cabon) kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine kwa sababu halikuzingatia athari watakazozipata...
View ArticleSerikali Yafuta VAT kwenye taulo za kike (Pedi)
Serikali imefuta Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), kwa taulo za kike (pedi) zinazoagizwa kutoka nje ya nchi.Msamaha huo umetangazwa leo Alhamisi Juni 14 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip...
View ArticlePikipiki na Magari ya mashindano nazo kuondolewa kodi
Waziri wa Fedha, Philip Mpango amesema serikali inatarajia kufanya mabadiliko kwenye sheria ya forodha la jumuiya ya Afrika Mashariki inayotoa msamaha wa kodi kwa magari yanayotumika kwenye mashindano...
View ArticleWaziri Mpango: Ukusanyaji wa mapato Ulikuwa Trilioni 21 Mwaka 2017/2018
Waziri wa Fedha, Dk Philip Mpango amesema ukusanyaji wa mapato katika vyanzo vyote kwa mwaka 2017/18 yalifikia Sh21.89trilioni sawa na asilimia 69 kwa mwaka.Ameyasema hayo leo Juni 14, wakati akisoma...
View ArticleAjali ya Basi Yaua Wanajeshi 10 wa JKT
Basi lenye namba za usajili T 755 BAB lililokuwa likisafiri kutoka mkoani Tabora kuelekea mkoani Mbeya, limepata ajali leo Alhamisi, Juni 14, 2018 katika eneo la Igodima jijini Mbeya na kusababisha...
View ArticleSerikali yaongeza ushuru wa Chokoleti, Pipi
Ili kuhamasisha uzalishaji wa ndani, Serikali imetangaza kupandisha ushuru wa forodha kwenye peremende, chokoleti, bazoka (chewing corn) na nyanya zilizosindikwa kutoka nje.Akizungumza bungeni leo Juni...
View ArticleSalah Ufufua Matumaini Ya Waafrikakombe La Dunia
Na magdalena kashindye.Nyota wa Liverpool na timu ya taifa ya Misiri, Mohamed Salah amepona majeraha yake.Mchezaji huyo anapewa nafasi kubwa ya kukiongoza kikosi cha Misri Ijumaa ya wiki ijayo dhidi ya...
View ArticleMtoto Afanyiwa Ukatili Kwa Kuchomwa Moto Makalio
Na magdalena kashindye kahamaMtoto mwenye umri wa miaka {11}amechomwa moto makalioni na kufungiwa ndani kwa muda wa siku mbili kwa kosa la kuiba pesa kiasi cha shilingi elf tano kitendo ambacho ni cha...
View ArticleUrusi Yaanza Vyema Kombe La Dunia....Yaitandika Saudi Arabia Bao 5-0
Dakika 90 zimemalizika katika Uwanja wa Luzhniki kwa wenyeji Urusi kuibuka na ushindi wa kishindo wa mabao 5-0 dhidi ya Saudi Arabia katika mechi ya ufunguzi wa michuano ya Kombe la Dunia.Mechi hiyo ya...
View ArticleMiti Na Mimea Inayo Kaliwa Na Majini Mseto
Katika uganga na uchawi miti na mimea imegawanyika katika makundi makuu matatu.Kundi la kwanza linahusisha miti na mimea inayo kaliwa na majini na malaika watukufu pekee.Kundi la...
View ArticleCCM Yamkana Lembeli
Na magdalena Kashindye -KAHAMAChama cha mapinduzi (CCM) wilayani Kahama mkoani Shinyanga kimesema hakina taarifa ya urejeo wa James Daud Lembeli katika chama hicho kutokana na kushindwa kufuata...
View ArticleRais Magufuli Atoa Zawadi Za Idd kwa Watu Wenye Mahitaji Maalum
Habari na Wizara ya Afya.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa zawadi ya Idd El Fitri zenye thamani ya shilingi 11,370, 000 kwa vituo 5 vya Mkoa wa Dar es Salaam,...
View ArticleCECAFA Yakubali Kujitoa Kwa Yanga Kombe La Kagame Cup Msimu Wa 2018
Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), limekubali maombi ya Yanga kujiondoa katika mashindano ya KAGAME baada ya kutuma barua iliyoeleza kuomba kujitoaYanga ilituma barua kupitia TFF...
View ArticleJipatie Tiba ya Asili ya Ngiri, Vidonda vya Tumbo,Kisukari na Nguvu za Kiume
Super nzoka IKEMEKO TRDITONAL clinic Ni dawa ya Asili ya vidonge iliyotengenezwa kwa techknojia ya kisasa na ubora wa hali ya juu Huongeza nguvu za kiume maradufu hata kwa wale wasiojiweza kabisa...
View Article