Dawa Za Nguvu Za Kiume Na Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa
Asilimia 45-80 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kutowatimizia vyema wake au wapenz wao na kuwasababishia kutoka nje ya mahusiano yao. NINI CHANZO CHA HAYO? Kupiga punyeto,Ngiri, Vidonda vya...
View ArticleKampuni Zitakazoleta Ubabaishaji Katika Malipo Ya Pamba Ya Wakulima Kufutiwa...
Na Tiganya Vincent-Rs TaboraSERIKALI imesema haitasita kuzifuta na kuzinyang’anya leseni Kampuni ambazo zinanunua pamba hapa nchini ikiwa zitachelewesha fedha za wakulima wa zao hilo na kuanza...
View ArticleJishindie Gari la Bure Toka Japan.....Kushiriki Ni Bure Kabisa
Kampuni ya Car From Japan huendesha mashindano ya magari ya Bure kabisa kila mwezi. shindano hili ni Bure na huhitaji kutoa chochote kushiriki.Mshindi ataletewa gari lake alitakalo hadi nchini mwake...
View ArticleVigogo CHADEMA Mahakamani Tena Leo....Lowassa Naye Kafika
Kesi inayowakabili vigogo tisa wa Chadema, wakiongozwa na mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe inaendelea muda huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Waziri Mkuu wa Mstaafu, Edward Lowassa...
View ArticleUpdates: Trump aridhika na mazungumzo pamoja na Kim, Wasaini Makubaliano Maalumu
Rais Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un wamemaliza mazungumzo ya kwanza ya kihistoria kwa kutia saini taarifa juu ya ahadi za kuangamiza silaha za nuklia za Korea Kaskaizni.Trump...
View ArticleKubenea Ataka Bunge L,iahirishwe ili Wajadili Sakata la TCRA Kuzuia Mitandao...
Sakata la Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) kutekeleza kanuni za maudhui, limewasilishwa bungeni na mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea akitaka maelezo ya kina ya Serikali kwani...
View ArticleMajeruhi Wa Ajali Meatu Wasafirishwa Kwenda Muhimbili Kwa Matibabu Zaidi
Na Stella Kalinga, SimiyuMadiwani tisa kati ya 11 wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu waliojeruhiwa katika ajali iliyotokea Juni 10, 2018 kwenye msafara wa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mhe. Kheri James...
View ArticleDiamond Humwambii Kitu Kuhusu Timu ya Simba....."Siwezi kujiita Simba...
Baada ya kuficha kwa muda mrefu kuhusu timu anayoshabikia hapa Bongo, Dimond Platnumz ameamua kuweka wazi.Akiongea na Wasafi TV usiku wa jana kwenye ugawaji wa tuzo za Mo Simba Award 2018, msanii huyo...
View ArticleRais Magufuli achangia Milioni 10 ujenzi wa Msikiti Mkuu Dar....Atoa Ujumbe...
Rais John Magufuli amewataka viongozi wa dini kuwa wasemaji wa mambo yao na si kusemewa na wanasiasa.Amesema hayo leo Juni 12, 2018 alipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa msikiti mkuu wa Baraza...
View ArticleVifo vyaongezeka Ajali ya wanafunzi UDSM
Majeruhi mmoja kati ya wawili wa ajali iliyotokea eneo la River Side jijini Dar es Salaam ikihusisha gari la wagonjwa la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam amefariki dunia leo Juni 12, 2018.Majeruhi huyo...
View ArticleWaziri Mkuu Mgeni Rasmi Uzinduzi Wa Kampeni Ya Upimaji UKIMWI Juni 19 Jijini...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajia kuzindua rasmi kampeni ya kitaifa ya upimaji virusi vya Ukimwi VVU iliyopewa jina la ‘Furaha Yangu’ yenye lengo la kuhamasisha huduma za kupima VVU na kuanza ARV...
View ArticleNape Nnauye: Nilaumuni kwa ‘Bao la Mkono’ sio kwa hili la Jamii Forums
Mbunge Mtama, Nape Nnauye amejikutaka akijibu hoja mbali mbali mtandaoni kufuatia mtandao wa Jamii Forums kusitisha kutoa huduma.Jamii Forums wamefikia hatua hiyo kutokana na kanuni za maudhui ya...
View ArticlePolisi wakamata majahazi yakisafirisha Bidhaa za Magendo
Jeshi la Polisi kikosi cha wanamaji, limekamata watuhumiwa 16 na majahazi manne yakiwa na mali za magendo.Akizungumza leo, Jumanne Juni 12 Kamanda wa polisi kikosi cha wana maji, Evance Mwijage amesema...
View ArticleRais Magufuli Afurahishwa na Swali Aliloulizwa na Mwananchi...Kampa Laki 2 na...
Rais John Magufuli ametaka barabara itakayokarabatiwa karibu na eneo la Msikiti Mkuu wa Bakwata Kinondoni ipewe jina la mkazi aliyejitambulisha kwa jina la Rashidi Masushi baada ya kusema swali lake...
View ArticleMahakama yazizuia benki kutoa pesa za ruzuku CUF
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeweka zuio la muda kwa benki zote nchini kutotoa pesa zozote za ruzuku ya Serikali kwa Chama cha Wananchi (CUF), hadi kesi zinazohusu mgogoro wa uongozi unaofukuta...
View ArticleWafuasi 7 CHADEMA Wanusurika Kufutiwa Dhamana Mahakamani
Washtakiwa saba, kati ya 31 wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa Chadema, wamenusurika kukamatwa na kufutiwa dhamana baada kushindwa kufika mahakamani kusikiliza shauri lao.Washtakiwa hao wanakabiliwa na...
View ArticleWachina 19 na Watanzania 6 wafikishwa Mahakamani kwa uhujumu uchumi
Raia 19 wa China na Watanzania 6, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.Washtakiwa hao wanashtakiwa chini ya vifungu vya sheria ya uhamiaji, chini...
View ArticleWanafunzi wa UDSM kuzikwa Ijumaa
Taarifa kutoka uongozi wa wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), zinasema miili ya waliokuwa wanafunzi wa chuo hicho Steven Sengo na Maria Soko wanatarajiwa kuzikwa Ijumaa Juni 15, 2018,...
View ArticleTECNO Pouvoir 2 Uhakika Wa Chaji Ndani Ya Masaa 96.
Pamoja ya kuwa kampuni inayosifika katika uzalishaji wa simu zinazotunza chaji, kampuni ya simu ya TECNO imeendelea kudhihirisha ubora wake kwa mara nyengine tena kupitia TECNO pouvoir 2 (TECNO LA7)...
View ArticleMbowe na Wenzake Wasomewa Mashitaka Mapya 13
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe na vigogo wengine saba wa chama hicho wamesomewa mashtaka mapya 13 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Mbowe na wenzake walisomewa mashtaka hayo jana Juni...
View Article