Mama mzazi wa Nay wa Mitego anahisi mwanae ni mfuasi wa jamii ya siri ya freemason na ameanza kusita kupokea fedha kutoka kwake.
Kwa mujibu wa mama yake, mafanikio ya haraka ya Nay yakiwemo kujenga
nyumba ya kifahari, kumiliki magari kadhaa na maisha yake ya kimilionea,
vimemfanya aamini maneno yanayosemwa na watu au kuandikwa kwenye
magazeti ya udaku kuwa mwanae amepata utajiri huo kwa
↧