Wajawazito wakazi wa kata za Sululu na Matawale katika Halmashauri ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara, wamekuwa wanajifungua kwa kutumia vibatari muda wa usiku zaidi ya miaka mitano sasa.
Diwani wa Kata ya Sululu, Peter Mrope alisema hayo alipokuwa akizungumza na mwandishi wa habari hizi.
Alisema kuwa hali ya zahanati sio nzuri na zaidi ya miaka mitano wakazi wake na kata ya jirani
↧