Dereva bodaboda Ismail Lucas (16), mkazi wa Kwa Mathias wilayani Kibaha mkoani Pwani, anatuhumiwa kumlawiti mtoto ambaye ni mwanafunzi wa Chekechea.
Mama wa mtoto huyo (jina limehifadhiwa) alisema kuwa kutokana na tukio hilo, mwanawe (jina limehifadhiwa) alijeruhiwa vibaya.
Alisema kuwa tukio hilo lilitokea saa 3:00 asubuhi eneo la Tanita wakati mtoto huyo alipokuwa akitokea dukani
↧