Baada ya maswali kuwa mengi kuhusu uhusiano baina ya mtangazaji wa
EATV/EA Radio, Sam Misago na mwimbaji Mwasiti Almasi, wawili hao
wameamua kuzikanusha kwa pamoja taarifa hizo kupitia kipindi cha Friday
Night Live cha EATV jana Feb 6.
Tarehe 6 Feb. ilikuwa ni birthday ya Sam Misago, na katika
kuisheherekea aliwakaribisha studio za EATV wasanii Mwasiti, Damian Soul
na Makomando
↧