Serikali imesema Tume ya Utumishi wa Walimu itaanza kazi Julai mwaka huu na kuhudumia walimu katika masuala mbalimbali huku muundo wa utumishi wa tume hiyo umehusisha ngazi za chini na juu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani alisema serikali imekubali kuanzisha tume hiyo ya kuhudumia walimu nchini ili kuepuka walimu kuhudumiwa na wizara mbalimbali
↧