Mikoa sita 'imevurunda' katika ujenzi wa maabara katika shule za sekondari baada ya kushindwa kufikia malengo. Ni mikoa mitatu pekee ndiyo imefanya vizuri kwa kuvuka nusu ya malengo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alitaja mikoa ambayo haikufika hata robo ya malengo kuwa ni Mtwara (asilimia 21), Lindi (asilimia 20), Tabora (asilimia 17), Dodoma (asilimia 12), Rukwa (asilimia 11) na Kigoma (
↧