Meneja wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond’, Babu
Tale, amesema hawajawahi kupewa kiasi cha fedha Sh mil 500 na Waziri
Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, ili wampigie kampeni za urais kupitia
Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na Mpekuzi, Babu Tale alisema watakuwa wehu
kukataa fedha nyingi kiasi hicho wakati wenyewe wanafanya muziki ili
kupata fedha, lakini
↧