Hatimaye zile tetesi kwamba mwigizaji Wema Sepetu na
msanii wa muziki Ommy Dimpoz wanatoka kimapenzi zimekuwa kweli kwa zaidi ya asilimia 200....
Tetesi hizo zimethibitishwa na picha waliyopiga jana
usiku wakiwa bafuni huku Wema akiwa amevaa taulo tu na Ommy Dimpoz akionekana kwa mbali kama ananawa mikono.
Picha hii iliamsha watu kibao usiku wa jana hasa wale Team Wema, kwani
↧