Serikali imezuia watendaji wote wa Msajili wa Hazina, kuingia katika bodi yoyote ya mashirika ya umma kuepuka mgongano wa maslahi.
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya (pichani) alisema bungeni, kwamba wameshaanza kuondoa watendaji hao katika bodi mbalimbali, ili kuhakikisha wafanyakazi wa Msajili wa Hazina, ambaye ndiye mwenye hisa katika mashirika yote ya umma, wanakuwa wasimamizi badala ya
↧