Muuza genge mmoja kwenye Soko la Mji Mpya mjini Morogoro ambaye jina
halikupatikana mara moja, amejikuta akichezea kichapo kwa madai ya
kunaswa na mke wa mtu kisha kutembezwa mtupu mtaani.
Fumanizi hilo lililojaza umati wa jinsi na rika zote wakiwemo watoto
lilijiri katikati ya wiki hii, maeneo ya Mji Mpya ndani ya chumba na
kitanda cha wanandoa hao.
Kwa mujibu wa majirani,
↧