Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imepeleka suala la mchakato wa uuzaji wa hisa za Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam katika Shirika la Usafiri Dar es Salaam(UDA) kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ili kuangalia mchakato mzima na mkanganyiko katika uuzwaji wa hisa hizo.
Pia wamemtaka mwanasheria mkuu wa serikali kuupitia mchakato
↧