Wabunge wameelezea kuchoshwa na wizi, matumizi mabaya ya fedha na mikataba mibovu iliyobainishwa katika taarifa za baadhi ya kamati zilizowasilishwa bungeni, na kushauri maazimio yapitishwe ili wahusika wa ufisadi huo wabanwe.
Katika kuchangia taarifa za Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) pamoja na Kamati ya Bajeti zilizowasilishwa bungeni,
↧