Baada ya Shilole kumchapa vibao mchumba wake Nuh Mziwanda, Shilole amelazimika kuomba radhi.
Shilole amewaomba radhi mashabiki wake kwenye mtandao wa Instagram kwa kupost picha akiwa na mpenzi wake huyo na kuandika:
“Huyu hapa mjanja wangu mimi, daah nimekamatika hapa, na naamini
ni mwanaume sahihi kwangu maana hawezagi kurusha hata ngumi japo
namchokozaga mie mjeuri tu, mnao
↧