Serikali imeshauriwa jeshi la polisi lifanyiwe marekebisho ya kimfumo
ili kuboresha utendaji wake ambao kwa sasa unalalamikiwa kwa sehemu
kubwa na wananchi kwa kukiuka haki za binadamu.
Akizungumza jana mjini Dodoma katika kuhitimisha hoja kuhusu
kukamatwa kwa kiongozi wa wa chama cha CUF, Prof Ibrahim Lipumba na
wanachama wake,Mbatia alisema kuwa kitendo hicho kilikiuka haki za
↧