Wazazi wamekua na nafasi kubwa sana
katika malezi ya watoto wao hata wakati wanapokuwa watu wazima
lakini baba huyu kutokana na upendo kwa mwanaye aliamua kujiua baada ya
kuona picha za mtoto wake alizopiga akiwa mtupu katika jarida la Playboy nchini Romania.
Loredana Chivu aliamua kuweka
picha hizo akiwa amepiga katika staili tofauti katika mitandao
mbalimbali ya kijamii ambapo
↧