LEO Wabunge wameendelea kuchangia taarifa za Kamati za Hesabu za
Serikali PAC na LAAC zinazoonesha ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma. Hapa chini nimekuwekea michango ya baadhi ya Wabunge.
Lema: Haiwezekani kila siku tukija humu tunazungumzia wizi tu,
inatakiwa tuzungumzie mipango ya maendeleo ya wananchi sio kila siku
wizi wizi wizi unaosababishwa na CCM.
Lema: Kama
↧