Hatimaye wafuasi 29 kati ya 30 wa chama cha wananchi (CUF) akiwemo Naibu
Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Uchaguzi na Bunge Shaweji Mketo na Naibu
Mkurugenzi wa mawasiliano Abdul Kambaya wamepatiwa dhamana.
Licha
ya wafuasi hao kupatiwa dhamana, mmoja ya watuhumiwa hao ambaye ni
mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Sandali Bw Abdina Ali Abdina
amelazimika kutolewa nje ya chumba cha
↧