WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameagiza watendaji katika Manispaa na Jiji waliohusika kunyang’anya mali za wafanyabiashara mbalimbali kwa kisingizio cha kusafisha jiji na kugawana badala ya kupeleka kunakoruhusiwa kuchukuliwa hatua huku akiahidi kumshughulikia Katibu Tarafa wa Kariakoo, jijini Dar es Salaam.
Aidha, amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kukaa na wafanyabiashara na kuangalia njia
↧