MFANYABIASHARA aliyefahamika kwa jina la Jumanne Tevez, mkazi wa Dar es
Salaam, amefanyiwa unyama baada ya kudaiwa kukatwa uume wake na wenzake.
Habari za uhakika kutoka chanzo chetu cha habari zilisema kuwa Tevez,
amelazwa katika hospitali moja nchini Afrika Kusini akipatiwa matibabu.
Chanzo chetu hicho ambacho kipo karibu na familia ya mfanyabiashara
huyo, kilieleza kuwa taratibu
↧